Private consultant hodari

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Jamani niko serias natafuta private consultant ambae anaweza kunishauri. Nataka nianze maisha yangu upyaa.nina mambo mengi kichwani nahisi kichwa kinataka kuburst. Aweze kunishauri katika nyanja zote za maisha kiuchumi,kijamii everything.niko tayari kumlipa ila awe na bei affordable.kama haupo sirias pleas usinisumbue maana utaniongezea matatizo
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Private katika maana ya 'private' au katika maana ya 'kwa ajili kwako tu'?

NiPM if you want the later
 
pole bebii naamini utapata watu waliopo serious kukutoa hapo ulipo.
 
oooh! jamani babii! pole! mi sko na such profesinal! may be niwe na kutoa out even once a week inaweza kukusaidia!pole mpendwa
 
I'm doing the same type of work some sort of advising people about life to reduce stress and psychological problem. The problem is distance btn me and u otherwise welcome i can help through phone and private massage.
 
jamani niko serias natafuta private consultant ambae anaweza kunishauri. nataka nianze maisha yangu upyaa.nina mambo mengi kichwani nahisi kichwa kinataka kuburst. Aweze kunishauri katika nyanja zote za maisha kiuchumi,kijamii everything.niko tayari kumlipa ila awe na bei affordable.kama haupo sirias pleas usinisumbue maana utaniongezea matatizo

labda ungetuambia kwanza hayo ya sasa umekumbuna na madhira gani,......anyway pole
 
Pole bebii,mimi ni mgeni lakini najua humu utapata msaada wa kila namna cha muhimu uwe makini mwaya
 
Unaamanisha Private in the meaning of private or just wako wewe mwenyewe
yaani personal sio nimiliki kama mtu unavokuwa na daktari wako home rocky nina matatizo siriaz ahhhhhhh
 
Jamani niko serias natafuta private consultant ambae anaweza kunishauri. Nataka nianze maisha yangu upyaa.nina mambo mengi kichwani nahisi kichwa kinataka kuburst. Aweze kunishauri katika nyanja zote za maisha kiuchumi,kijamii everything.niko tayari kumlipa ila awe na bei affordable.kama haupo sirias pleas usinisumbue maana utaniongezea matatizo

Na kabla hujaenda kumtafuta huyo private consultant wako jitahidi kwanza wewe mwenyewe ubadilike na ujikubali wewe na ujijuue ni nini unataka kabla hujaonana na huyo mshauri
Maana anaweza kuja mtu akakupa ushauri wa kukuelekeza kushoto wakati wewe unataka kwenda kulia hapo ni balaa
 
yaani personal sio nimiliki kama mtu unavokuwa na daktari wako home rocky nina matatizo siriaz ahhhhhhh

U know what
The real problem ni wewe mwenyewe wala sio hayo ya dunia
Hayo ya dunia ni matokeo ila tatizo kubwa linaanzia kwako
jitambue kwanza na tambua kuwa unahitaji wewe ubadilike kabla ya kushauriwa au kupata ushauri
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom