Hercule Poirot
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 1,717
- 1,472
Script haina uhalisia imekaa kama video game za grand theft auto.
nasubiri ni mpenzi mkubwa wa hii series
Umeshawahi kutembelea kwenye torrents sites?! Kwa mfano, hapa Search for 'Prison Break Season 5' torrents - Page 1 - extratorrent.cd The World's Largest BitTorrent System utapata formats mbalimbali.
Script haina uhalisia imekaa kama video game za grand theft auto.
Michael Scofield ni shoga....
funmpenz kivip
Ni mkuda tu wa yule jamaa, haha yule jamaa alikuwa anatamani makalio yaliyo nona ya wafungwa wenzake ukizingua kaburi hilo hapo....Mzee mzima Tee berg, alipitia mateso sana yule mzee
yule ndo mwamba sasa na c note..maboya wakamuua mapema abruzNi mkuda tu wa yule jamaa, haha yule jamaa alikuwa anatamani makalio yaliyo nona ya wafungwa wenzake ukizingua kaburi hilo hapo....
huyu alikuja kufa kifo cha ajabu pamoja na kuwa alikuwa mbabe wa gerezani baada ya kuchukua hatamu kutoka kwa Lachero, Sammyyule ndo mwamba sasa na c note..maboya wakamuua mapema abruz
Hapa ndipo walipokuja kuharibu Bongo Movie! Mtu akiigiza movie zake mbili, kesho anaandika script wakidhani kuandika script ni kama kuigiza ambako, just kwa maelekezo mazuri ya director, unaweza kuigiza vizuri hata kama ulikuwa hujawahi kuigiza hapo kabla!!Ndo maana mwigizaji anabaki kuwa mwigizaji, kazi ya utunzi awaachie watunzi.
ingia www.02tvseries.com ipowapi naweza kupata season 5 yote?
Hapa ndipo walipokuja kuharibu Bongo Movie! Mtu akiigiza movie zake mbili, kesho anaandika script wakidhani kuandika script ni kama kuigiza ambako, just kwa maelekezo mazuri ya director, unaweza kuigiza vizuri hata kama ulikuwa hujawahi kuigiza hapo kabla!!
Yah! Majority ya wasiofahamu film production wanadhani yale yanayotokea ni akili za waigizaji bila kufahamu msingi wa yote ni Mwandishi huku Director akihakikisha uhalisia unatimia! Ndo kuna cku niliwaambia hapa watu kwamba filamu yoyote msingi wake ni script... ukishakuwa na tight script, unaweza kwenda pale Kariakoo na kuchagua watu wa kuigiza at random na bado wakaigiza filamu yenye hadhi ya Oscar provided kuna tight script na director mzuri!!!Unajua kama siyo mfuatiliaji mzuri wa haya mambo unaweza kudhani eti zile akili za ku-break prison ni za kina Scofield, na unaweza kudhani jamaa ni genius, kumbe kuna genius behind all those. Kwa hilo wazo alilloleta unajua kabisa huyu hakuna kitu kwenye utunzi.
Bongo utakuta A Vincent Kigosi Movie, main Director ni yeye, main character ni yeye, mtunzi ni yeye, location manager ni yeye, etc etc. Unakuta movie zote alizo act zinafanana kila kitu kwa sababu mawazo ni ya mtu mmoja.
Uwongo mkubwa uliowahi kuandikwa JF ni huu.. kamwe film producers hawawezi kutoa plot wakat film haijaachiwa. Sana watatoa premises tuBaada ya 24 Legacy kuwa cancelled, wadau wakawa wanaitupia macho PB ambayo tangu kutoka kwa Season 5, hapakuwa na taarifa yoyote ikiwa pangekuwa na Season 6 au ingekuwa cancelled. Kwa muda mrefu, hapakuwa na kauli yoyote official... in fact, hadi sasa hakuna official statement ya kuwa itaendelea au cancelled.
Dana Walden, boss wa FOX aliwahi kunukuliwa akisema hata kama PB itarudi still haiwezi kuwa mwaka huu wala mwakani, huku akisisitiza wanataka iwe special na sio ya kutoa kila msimu!
Hata hivyo, waigizaji wenyewe wanaonekana bado wanaitamani. Michael Scofield kwa mfano, mwishoni mwa October ali-share idea for PB Season 6 ambayo aliiwakisilisha kwa creators wa PB. Hata hivyo, inaonekana creators hawakuwa interested na idea yake, at least kwa wakati huo!!
Idea ya Michael Scofield for Season 6 ni hii hapa:
View attachment 649955
Kwamba, 23 years Tag ambae pia ni genius tech billionaire, ni Super Fan wa Michael na Lincoln. Hakuna anachopenda kuona toka kwa ndugu hao wawili kama uwezo wao wa kutoroka kwenye magereza mbalimbali kuanzia Fox River (Season 1), Sona (Season 3) hadi Ogygia (Season 5).
Ili kufanikisha shauku yake hiyo, Tag anawateka Michael na Lincoln na kuwatupa kwenye jela ya vijana inayofahamika kama LOCKWITH HOME FOR BOYS. "Jela" hii ni abandoned facility ambayo kwa hivi sasa inamilikiwa na Tag mwenyewe huku akilenga kuitumia kwa lengo moja tu... kuwaona Michael na Lincoln wakifanya yale ya Season 1-5.
Na kwavile pesa kwake si tatizo, kijana mtukutu, au sociopath kama alivyoitwa na Michael, amefanikiwa kuligeuza eneo zima lenye ekari 1000 liendane na mandhari kama yale yaliyopata kutokea Season 1-5! Which means, ndani ya hizo ekari 1000, kuna Fox River, Sona na Ogygia.
Hiyo ilikuwa ndio idea ya Michael Scofield ambayo aliwasilisha kwa ajili ya season 6 lakini jamaa wakaipiga chini!!!
Lakini wakati bado hakuna taarifa rasmi, Lincoln ame-post kuashiri kwamba Seaon 6 inakuja!! Kisichofahamika ni kwamba watakuja kwa staili ipi hasa ukizingatia Season 5 iliishia Michael akiwa anapata full immunity na kurudi kwa familia.
View attachment 649961
tangu nicheki season one azam tv, nimetafuta season 2 nimekosa kabisa
Ndio mkuuSeason 2 ya prison break ?
Ingia o2tvseries.com upakue kuanzia season one hadi season 5Ndio mkuu
Ina subtitles?Ingia o2tvseries.com upakue kuanzia season one hadi season 5
Of courseIna subtitles?