Prison Break Season 6 Is Back!!!

Prison Break Season 6 Is Back!!!

Wapenzi wa breaking bad. Kuna movie waita Netflix inatoka mwezi huu. Jessie atakuwepo
 
vp mwenye update za prison break 6
 
Uwongo mkubwa uliowahi kuandikwa JF ni huu.. kamwe film producers hawawezi kutoa plot wakat film haijaachiwa. Sana watatoa premises tu
Man, do you anything kwenye film making?! Kwanza wapi nimesema suala la Producer kutoa plot?!

Kuna kila dalili hauna huelewa na hii field, sasa ngoja nikupe darasa!!!

Kwenye TV (Series), cha kwanza ni PILOT, na sio PLOT! Mwandishi anaanza kwa kuandika Pilot episode na kuipeleka kwa film makers! Filmmaker akiwa interested na pilot na kuinunua au kui-option, EITHER the same writer (and of course and other writers) wanakuwa hired kuandika the complete season OR NEW (Writers) wanakuwa hired kufanya hiyo kazi!!

Sasa kwenye Uandishi wa Kubuni (Fictitious Writing) kabla ya kuandika unaanza na kutengeneza IDEA! Idea ndiyo inazaa story and PLOTS! Kuna baadhi ya waandishi wakishapata IDEA na kui-outline, wanaanza kuandika STORY na kisha SCRIPT!

Hata hivyo, wengine wakipata tu idea na ku-outline mistari miwili mitatu, moja kwa moja wanaanza kuandika script na badala ya kuanza na story!

Sasa nilichozungumza kuhusu Michael Scofield ni kutengeneza IDEA na sio PLOT kama ulivyosema! Na Idea pengine ndio jambo gumu zaidi kuliko kuandika kwenyewe! Na kwa TV Show ndio ngumu zaidi kwa sababu sio kila idea inaweza kuwa developed to tv show ingawaje inaweza kuwa feature film unless kama unalenga iwe Procedural TV Show na sio Serial (Series) TV Show!

Na Michael kafanya hivyo kwa sababu yeye ni Insider! Endapo hiyo Idea ingekubaliwa, ambacho kingefuata ni kuajiri mwandishi/waandishi ili kui-develop hiyo idea into story!

Kwa Outsider angeweza kufanya sio kutoa IDEA bali kuandika PILOT Script (for existing show) moja kwa moja... haujalishi kama atakuwa ameanza na kuandika story lakini filmmakers anachohitaji sio story bali script)!

Hata hivyo, wakati a Pilot Script kwa ORIGINAL Show hata wewe unaweza kuiandika na kutafuta njia ya kuiwasilisha, kwa Pilot ya existing Series kama PB kidogo inakuwa ngumu kwa sababu, wakati Original unaweza kutumia any AGENT kutegemeana na vigezo vyao, kwa existing show the possible chance ni kubisha hodi kwa Developers wa show husika... na hili si jambo dogo!!

So, kabla hujamwita mtu muongo kwanza unatakiwa uwe na uelewa wa field husika na pia uwe umeelewa kilichoandikwa!!!
 
Back
Top Bottom