Printer ya matumizi madogo


Asante sana mkuu.

Sasa kwa uzoefu wako naomba ni-suggestie printer ndogo ya kununua ambayo itakuwa economic kuitumia.
 
kujaza wino ni approximately bei gani
- Inategemea umechukua printer ipi? kuna za mitungi minne (4) au mitungi (6)
- Pia inategemea umenunua chupa za wino zenye ujazo upi?
- Chupa za 250ml huuzwa kati ya TZ 12,000 hadi TZS 18,000
- Ukiwa na hizi chupa za ujazo wa 250ml, kwa mwaka utahitaji chupa moja moja kwa hizo za rangi wakati kwa black waweza tumia chupa mbili

Ukichukulia una mfano Epson L300
- Ina mitungi minne (4), hivyo utahitaji chupa 5tu kwa mwaka
- Chupa tatu (moja moja za rangi) na chupa mbili ambazo ni Black
- Kila chupa moja TZS 14,000 (mfano) hivyo kwa chupa 5 ni TZS 70,000
- Hivyo utaona ghalama ya kutumia printer kwa mwaka ni kiais kisichozidi TZS 70,000

Wakati kwa aina zingine za printer, kila baada ya wiki tatu unalazimika kununua cartilage mpya (sio kujaza wino) wakati hizi epson wewe unajukumu la kujaza wino tu.
 
Mkuu nimependa maelezo yako...nahitaji moja ambayo naweza nikaprinti hata ream mbili bila kuisha!ni ipi?
Tafuta CISS printer
- Ina mitungi ya nje
- Running cost iko kwenye karatasi tu na sio wino wa printer - Hiki ndio cha kuzingatia zaidi
- Ziko mode/ brand nyingi tofauti tofauti kutegemea na bajeti yako
- Ila epson ndio zinapatikana kiurahisi pamoja na wino wake



 
kwa hiyo budget utapata printer ya inkjet ambayo siyo friendly kwenye matumizi ya wino printer nzuri ni laserjet ndiyo inatumia wino vizuri ambapo catridge moja black and white una print mpaka karatasi 1500. ila unaweza nunua inkjet ukanunua na makopo ya wino kila moja ni 5000 so utanunua manne, la nyeusi, blue, green na nyekundu utakuwa watumia sindano kujaza catriges utakaa nayo hata miaka miwili hadi wino uexpire
 
mkuu hivi L800 inaweza printi juu ya cd na kuprint makasha magumu? na je ina print kwenye pvc na glossy paper?
 
EPSON Pinter nazikubali, bora ununue hata laki 8 lakini wino wa kujaza 6000 na zinafanya kazi vizur
 
HP LaserJet M102a niambieni kuhusu printer hii
 

IKIWA UCHUMI WAKO SIO IMARA,
HII PRINTA HAIFAI.
 

HIZI ND'O PRINTA RAFIKI KWA WANYONGE.

I REALLY ENJOY USING DEM.
 
Cartilage ni aghali
- Ni kati ya TZS 45,000 hadi 75,000
- Na haimalizi miezi mitatu iwapo matumizi ni makubwa.
NA HAPA UTAKUTA BEI YA CARTRIDGES MBILI TU INATOSHA KUNUNUA PRINTA INGINE MPYA YA AINA HIYOHIYO !!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…