Princess wa Kibongo

Princess wa Kibongo

Last edited by a moderator:
Kwani watoto wa 3 kuna tatizo gani? Aliyetoa mimba 3 na aliyezaa watoto 3 ni yupi bora?

Mkuu aliyetoa mimba ana kanafuu kidogo sababu unapokuwa nae ni kwamba mnaanza moja...
Sasa ukiwa na mwanamke ambaye tayari umemkuta na watoto kadhaa wakati wewe hujawahi kuzaa kabisa inataka moyo kwa kweli
 
Roho yangu huwa inasononeka ninapoona mwanamke anapofanyiwa dhihaka kwa sababu ya mwonekano wake na jinsi Mungu alivyomuumba. Pole sana mama najua kuna wanaoona mchango wako katika hii dunia. HAKUNA KAMA MAMA. WHY DONT U STICK TO THE POINT RATHER THAN PUTTING IMAGES OF INNOCENT WOMEN?

Kweli CREOLE hapa umesema neno. Na imeniuma, lakini kipodozi kinadanganya na warembo wengi wana mwonekano wa nguvu ya kipodozi. Kumdhihaki mtu hivi ndio kumepelekea wanawake wengi kujibadilisha. Hata huyu anaweza kua mrembo.
 
edvEj5R_700wa_0.gif
 
Watu mnachuki binafsi sana. Kilichowafanya kumpa makavu huyo mama na mme wake n nn?

Hayo ndio maisha aliyochagua kuiyaishi. Hata kama amebambikiwa mtoto ni yeye ameamua hvyo.

Mwacheni dogo aingize pesa kupitia mwanaye
 
Mkuu aliyetoa mimba ana kanafuu kidogo sababu unapokuwa nae ni kwamba mnaanza moja...
Sasa ukiwa na mwanamke ambaye tayari umemkuta na watoto kadhaa wakati wewe hujawahi kuzaa kabisa inataka moyo kwa kweli
Alietoa mimba ana nafuu gani/ipi?

Mtoa mimba na muuaji wote ni sawa tu.

Je yeye aliecholopoa mimba kama Mama yake Mzazi angecholopoa mimba yake(ujauzito wa mcholopoaji) je huyo mtoaji mimba angekuwepo hapa ulimwenguni?

Ndio maana kuna wengine inakuwa kama adhabu kwao kutoka kwa Mungu hawashiki ujauzito tena, kwasababu walishawahi kucholopoa awali, baadae wanakuja kusema hawana bahati, kumbe wamesahau kiumbe/viumbe alichokiua/walivyoviua
 
Back
Top Bottom