Princess wa Kibongo

Princess wa Kibongo

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
12047045_1210823262265497_405541937001996448_n.jpg
 
Duu wanaume tuna moyo,mtu kisha zaa watoto3 bado tuu kijana unajipeleka

Kuna Wanawake Wanabahati Kutoka Kwa Mungu Hawazeeki.Titi Lililonyonyesha Watoto Watatu Kibongobongo Silipatii Picha.Kijana Kajipa Kazi Sana!
 
Roho yangu huwa inasononeka ninapoona mwanamke anapofanyiwa dhihaka kwa sababu ya mwonekano wake na jinsi Mungu alivyomuumba. Pole sana mama najua kuna wanaoona mchango wako katika hii dunia. HAKUNA KAMA MAMA. WHY DONT U STICK TO THE POINT RATHER THAN PUTTING IMAGES OF INNOCENT WOMEN?
 
maneno yamenigusa sana ndugu. sio fair kabisa.
 
Roho yangu huwa inasononeka ninapoona mwanamke anapofanyiwa dhihaka kwa sababu ya mwonekano wake na jinsi Mungu alivyomuumba. Pole sana mama najua kuna wanaoona mchango wako katika hii dunia. HAKUNA KAMA MAMA. WHY DONT U STICK TO THE POINT RATHER THAN PUTTING IMAGES OF INNOCENT WOMEN?
kwa hiyo huyu tu ndo umeona anafanyiwa dhihaka? huyo mnae mdhihaki kwa kuzaa watoto watatu nae hana haki ya kula goodtime na kuza na ampendae? KUNYA ANYE KUKU........
 
Watu tuko tofauti mkuu. Utakuta huyu mama kalea watoto wake tisa huko kijijini na hapa alipo bado anakwenda shamba kila siku. And yet seems to be happy na hapo utakuta hana presha wala nini.

Watu tumelelewa tofauti sana!
 
kwa hiyo huyu tu ndo umeona anafanyiwa dhihaka? huyo mnae mdhihaki kwa kuzaa watoto watatu nae hana haki ya kula goodtime na kuza na ampendae? KUNYA ANYE KUKU........
Huyu ni celebrity mkuu. Ni public domain huyu hata yeye analijua hilo. Kila anachofanya hata akitema mate watu wasiokuwa na shughuli watamwandika. Hili linajulikana. Na kutetwa na kuchambuliwa hata kudhihakiwa ni gharama ndogo ya kuwa celebrity. Na huyo mama je?

Huko ulikoitoa nadhani waliwahi kushtakiwa katika jimbo la California na walitozwa faini ya dola karibu 45,000. Wanachofanya ni udhalilishaji. Imagine kama huyo angekuwa ni mamako au dadako. Ungejisikiaje? Sheria ya makosa ya mtandao imekuja kuondoa udhalilishaji kama huu.
 
Back
Top Bottom