Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
Wamekuja kula nyama ya twiga watakaowawinda kwa mikono yao wenyewe kwa bei chee sana.hawa maprince wanatafuta nini hapa kwetu. tuwe macho na wanyama wetu
Wamekuja kula nyama ya twiga watakaowawinda kwa mikono yao wenyewe kwa bei chee sana.hawa maprince wanatafuta nini hapa kwetu. tuwe macho na wanyama wetu
Atabaki kuwa muislamu tu.mkuu sio kila mwarabu mwislamu,na sio kila muislamu muumini wa kweli.huyu prince walid ni msaudi lkn hayupo kwenye serikali na nimfanya biashara.naona ni tajiri wa 15 duniani.jamaa anaitwa mwislamu poa.yaani mwislamu jina.
...nitafuta hadithi moja inaoesha wazi kizazi cha warabu kwa asilimia kubwa ni wayemen wote.hakuna mwarabu kwenye kisiwa cha warabu ambaye hana damu ya yemen. sio warabu feki wa misri au libya algeria tunisia.
Mh! Huyo mke wa Prince alivyovaa! Jamani, isije kuwa huku uswahilini tunadanganywa na hao waliotuletea imani zao? Huyu si alitakiwa awe mfano bora? Sasa nimeamini kila jambo pima mwenyewe na changanya na zako vinginevyo wengine tutaishia kufia dini wakati wenyewe wanatumbua kwa raha zao!
Mbona ziara yake hata haikutangazwa kama viongozi wengine?
Kingdom Holding ndiyo mmiliki wa hoteli inayojulikana kama Movernpick; Movernpick wenywenye ni kampuni ya Ki-Swiss inayoendesha tu Hotel.
Unazidi kuchanganya, hatutaki hadithi leta HISTORIA ya waarabu na vizazi vyao, unapo tuambia kuna warabu feki na original tufafanulie na hawa ngozi nyeusi wanaojifanya wanafuata uarabu (uislamu) zaidi kuliko hata hao waarabu feki tuwaeleweje?
Atabaki kuwa muislamu tu.
Popote akiulizwa dini yake atasema ni muislam na atazikwa kiislamu.wa jina.
Popote akiulizwa dini yake atasema ni muislam na atazikwa kiislamu.
Kama ni ivyo basi asilimia 75 ambayo ni makabila mengine hawatendewi haki kutumia lugha ya kiarabu kwenye uislamu ambapo asilimia 15 tu ndo waarabu ktk dini hii.acha ugonjwa wa kufikiri warabu ni waislamu na waislamu ni warabu.uislamu ni dini tu.warabu ni kabila tu.kuna warabu waislamu na sio waislamu.
naposema warabu feki ni wale watu waliotawaliwa na warabu kama north africa sudan na nchi zingine.wakawa wanaongea kiarabu kama lugha yao ya kwanza basi hao kisomi wame arabishwa.lkn sio warabu waasili
warabu waasili ni nchi hizi hapa saudi arabia,yemen,oman,UAE,bahrain,qatar,kuwait,iraqi kusini,pande chache za sham(syria,jordan,palestina,israel)sio wote bali baadhi.na misri ya sinai.
sahivi neno muarabu halifuati asili,bali lugha kama lugha yako ya kwanza ni kiarabu bac wewe ni mwarabu,haijali rangi au kitu kingine chochote.
unajuwa sahivi msomali anatambulika kama muarabu? kwasababu wamejiunga na umoja waarabu.
ngozi nyeusi kama uliposema ni waumini wa dini ya kiislamu na wala sio dini ya warabu.na mwarabu hana cheo au uadhifa wowote kwenye uislamu.tena mtume muhamad alisisitiza sana kutokubaguana kisa huyu ni mwarabu na huyu sio.
unajua warabu hawafiki asilimia 15 ya waislamu wote duniani?.
Kama ni ivyo basi asilimia 75 ambayo ni makabila mengine hawatendewi haki kutumia lugha ya kiarabu kwenye uislamu ambapo asilimia 15 tu ndo waarabu ktk dini hii.
Mh! Huyo mke wa Prince alivyovaa! Jamani, isije kuwa huku uswahilini tunadanganywa na hao waliotuletea imani zao? Huyu si alitakiwa awe mfano bora? Sasa nimeamini kila jambo pima mwenyewe na changanya na zako vinginevyo wengine tutaishia kufia dini wakati wenyewe wanatumbua kwa raha zao!
dah haha.ndugu hesabu kidogo 100-15=85.
tuendelee.mkuu kwanza lugha kiarabu ndio lugha iliyoshukia quran.pili kiarabu ni lugha inayoongoza kwa ufasaha wake na kwa grama zake.tatu kutafsiri kitu kwenda lugha nyingine hupati maana kamili lkn hulingana.nne unapoenda china ukisika adhana unaenda kusali lkn wakiwa wana azini kwa kichina sijuwi kama ungeingia.hapa wakristo hamuna lugha moja ya sala,ukienda ujerumani sijuwi kama utamuelewa padri.
Kama alivokuja Prince Charles, Prince Waleed bin Talal naye yuko Tanzania kwa ziara siku moja:
![]()
Presdent Jakaya Kikwete and his guest HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz
Huyu ndiye alimuhonga mwanamume sutti...thank God Kama hakuwa masharti Kama ya ulaya..