Prince Waleed bin Talal awasili Tanzania

Prince Waleed bin Talal awasili Tanzania

Kama alivokuja Prince Charles, Prince Waleed bin Talal naye yuko Tanzania kwa ziara siku moja:
p30.jpg

Presdent Jakaya Kikwete and his guest HRH Prince Alwaleed Bin Talal Bin Abdulaziz Alsaud, Chairman of Kingdom Holding Company (KHC), and their wives listen to the Chairman of Board of Directors of the Wanawake na Maendeleo (WAMA) organisation, Dr Ramadhani Dau, as he thanks HRH Prince Alwaleed for his pledge to help WAMA in the organisation's efforts to developing Nakayama Girl's High School in Rufiji, Coast region

Kikwete angekuwa ni kiongozi makini angemwambia huyo mkurugenzi ku-correct posture yake maana amesimama kama anaongea na marafiki zake wa bar au wa kijiweni. posture ya Kikwete ni sahihi, ya mke wa Prince ni sahihi, ya Mrs Kikwete si sahihi ya Prince ni sahihi - in any case kwa kuangalia body language bila ya kusoma maelezo ya picha mtu anaweza akafikiri Mzee Nyamtumbo aka Mkurugenzi ndiyo mgeni rasmi - wafundisheni hao wakurugenzi uchwara how to behave wanatutia aibu!!! ahahahaha
 
Mh! Huyo mke wa Prince alivyovaa! Jamani, isije kuwa huku uswahilini tunadanganywa na hao waliotuletea imani zao? Huyu si alitakiwa awe mfano bora? Sasa nimeamini kila jambo pima mwenyewe na changanya na zako vinginevyo wengine tutaishia kufia dini wakati wenyewe wanatumbua kwa raha zao![/
SIZE]

Kama hukujua dini ni sehemu nzuri ya kuwahadaa watu maskini kisha kujipatia ulaji kilaini we fia dini na wala hutakuwa na ufahamu wowote ukisha kufa. Kufa ni sayansi tu kama inavojulikana na madaktari kuwa unapoteza fahamu zako, hupumui na unaanza kuoza kuingia kwenye ecological system. hizo kwamba utafika ahera, cjui roho yako itaombewa utaingia patakatifu ni upumbavu wa mjinga.
Dini ni silaha ya wenye akili ( hila ) kujipatia umaarufu, political power na utajiri dhidi ya wajinga wanaofuata pasipo kujiangalia mara mbili.
Hivi niambie bila kuwepo dini ni mpumbavu gani atakae kubali kutawaliwa kama nchi za kibabe mashariki ya kati zinavotawaliwa? Mungu yupo ila dini ni ujinga.
 
Mh! Huyo mke wa Prince alivyovaa! Jamani, isije kuwa huku uswahilini tunadanganywa na hao waliotuletea imani zao? Huyu si alitakiwa awe mfano bora? Sasa nimeamini kila jambo pima mwenyewe na changanya na zako vinginevyo wengine tutaishia kufia dini wakati wenyewe wanatumbua kwa raha zao!

orig_27979_en.jpg

Huu ndo usafiri wake anaoutumia

Prince Alwaleed Bin Abdul Aziz Al-Saud Boeing 747-400 HZ-WBT7

mkuu sio kila mwarabu mwislamu,na sio kila muislamu muumini wa kweli.huyu prince walid ni msaudi lkn hayupo kwenye serikali na nimfanya biashara.naona ni tajiri wa 15 duniani.jamaa anaitwa mwislamu poa.yaani mwislamu jina.
Prince Al-Waleed bin Talal (also spelled Waleed bin Talal) (Arabic: الوليد بن طلال بن عبد العزيز آل سعود‎; born 7 March 1955) is a Saudi Arabian billionaire and member of the Saudi royal family. He is the nephew of King Abdullah of Saudi Arabia. An entrepreneur and international investor he has amassed a fortune through investments in real estate and the stock market.
 
Prince Al-Waleed bin Talal (also spelled Waleed bin Talal) (Arabic: الوليد بن طلال بن عبد العزيز آل سعود‎; born 7 March 1955) is a Saudi Arabian billionaire and member of the Saudi royal family. He is the nephew of King Abdullah of Saudi Arabia. An entrepreneur and international investor he has amassed a fortune through investments in real estate and the stock market.[/QUOTE]

hahahaha...asante mwayego
 
Kama hukujua dini ni sehemu nzuri ya kuwahadaa watu maskini kisha kujipatia ulaji kilaini we fia dini na wala hutakuwa na ufahamu wowote ukisha kufa. Kufa ni sayansi tu kama inavojulikana na madaktari kuwa unapoteza fahamu zako, hupumui na unaanza kuoza kuingia kwenye ecological system. hizo kwamba utafika ahera, cjui roho yako itaombewa utaingia patakatifu ni upumbavu wa mjinga.
Dini ni silaha ya wenye akili ( hila ) kujipatia umaarufu, political power na utajiri dhidi ya wajinga wanaofuata pasipo kujiangalia mara mbili.
Hivi niambie bila kuwepo dini ni mpumbavu gani atakae kubali kutawaliwa kama nchi za kibabe mashariki ya kati zinavotawaliwa? Mungu yupo ila dini ni ujinga.

Mkuu nimekupata vizuri sana! Ni kweli kabisa hizi dini za kulishwa bila kupima mwenyewe kwa kuwa tu kiongozi wako wa kiroho kasema hazifai kabisa. Hebu angalia Prince alivyopendeza na mkewe - watu ambao wametoka mahali ambapo ndio asili ya Uislamu na hata kaburi la Mtume wanaliona kila siku. Hapa kwetu juzi juzi mmoja wetu mtandio ulimvuka mara moja likageuzwa ajenda ya kidini kwa maslahi ya kisiasa.

Huwezi kunishawishi kwamba hao Bakwata wana udhu na wanaujua Uislamu kuliko familia ya kifalme ya Saudia wenye nasaba na Mtume mwenyewe. Uzuri hawa jamaa (Prince et al) si kwamba hawana dini; ni waislamu safi ila wanajua kutofautisha majukwaa - kama ni wakati wa dini basi ni wadini kweli kweli; wakati wa siasa ni siasa mtindo mmoja, na wakati wa masuala ya kikazi/kibiashara basi ni wafanya biashara hasa.

Hapa kwetu wengine wamekaririshwa eti dini imefundisha mpaka jinsi ya "kunya" hivyo wakienda chooni wanajisaidia kidini. Hebu fikiria mtu ambaye "anakunya" alivyokaririshwa na dini yake yanapokuja masuala mengine ya kijamii inakuwaje - mtu wa aina hii kujilipua sio tatizo kwake! Ndugu zangu tufunguke, dunia inakwenda kwa kasi.
 
mashoga wa Kiingereza na Kiarabu kutinga nchini kwa mualiko wa RAIS

Sasa hapa mashoga wa hapa kwetu ndio wajiandae kukutanishwa na wenzao toka ng'ambo au wanaanza ziara yao kwa Viongozi Wetu?
 
Prince Al-Waleed bin Talal (also spelled Waleed bin Talal) (Arabic: الوليد بن طلال بن عبد العزيز آل سعود‎; born 7 March 1955) is a Saudi Arabian billionaire and member of the Saudi royal family. He is the nephew of King Abdullah of Saudi Arabia. An entrepreneur and international investor he has amassed a fortune through investments in real estate and the stock market.

ndugu kwani kuna kosa kwenye maneno yangu.namaanisha hana cheo serikalini yupo peke yake anapewa heshima ya prince tu.
 
Afadhali Mama Sitti kaonyesha nywele... finally!!!
 
Kabla ya miaka ya 60 ....wakatoliki wote duniani ...walikuwa wanasali Kilatini....lakini mtagaso wa Roma wa pili mwaka 1963..ukafuta waraka uliotaka taratibu zote za kilitrujia kanisani kufanyika Kilatini......wakaja na kitu kinachoitwa Utamadunisho....hii ililenga kueneza injili kwa kuzingatia...Lugha na Utamaduni wa sehemu husika......hii ililenga kuondoa malalamiko Kama haya kwa waislamu kuwa asilimia 15 Nya waislamu duniani .....na kuwa uarabu sio uislamu...
Wakatoliki waliliona muda mrefu hili ...na wakatenganisha Kilatini na ukatoliki....
Mkatoliki wa Leo anaweza kufuatilia Ibadan popote duniani....kwa lugha ya sehemu husika ....hatashindwa kuelewa kwa kuwa mtiririko wa Ibada kote duniani hufanana....sana sana .....mahubiri ndio yatampita....na nyimbo pia hi it's kwa vionjo vya eneo kwa eneo.....mfano nilisali china.....kila kitu ni sawa ...ila wanaokaa chini....kabisa..kanisani...

ibada mkuu ni kwa lugha ya kiarabu lkn mahubiri ni kwa lugha yeyote ile.sasa huoni bado wameliweza.
 
AH mkuu wewe ni mwarabu wa wapi mana unaonekana unaijua vizuri sana historia ya warabu mpaka kujua walibiya na waaljeria watunisia ni feki hebu tujuze mkuu watoto wa firao nao pia tupe somo mkuu
hizi ni story zinazo sambaa kwa oral.na kama unavojua kwakisomi huwezi kuweke kitu 100 kwa hakija fanyiwa uchunguzi wa nguvu.huwezi kwanza kuenda riyadha na kuanza kupima watu damu na tena kwenda yemen kupima damu uone wanaundugu au vp.

nitafuta hadithi moja inaoesha wazi kizazi cha warabu kwa asilimia kubwa ni wayemen wote.hakuna mwarabu kwenye kisiwa cha warabu ambaye hana damu ya yemen. sio warabu feki wa misri au libya algeria tunisia.
 
AH mkuu wewe ni mwarabu wa wapi mana unaonekana unaijua vizuri sana historia ya warabu mpaka kujua walibiya na waaljeria watunisia ni feki hebu tujuze mkuu watoto wa firao nao pia tupe somo mkuu

mimi ni mtoto wa adam.
firao? sijakupata,unamaanisha firaaun?
 
Kikwete angekuwa ni kiongozi makini angemwambia huyo mkurugenzi ku-correct posture yake maana amesimama kama anaongea na marafiki zake wa bar au wa kijiweni. posture ya Kikwete ni sahihi, ya mke wa Prince ni sahihi, ya Mrs Kikwete si sahihi ya Prince ni sahihi - in any case kwa kuangalia body language bila ya kusoma maelezo ya picha mtu anaweza akafikiri Mzee Nyamtumbo aka Mkurugenzi ndiyo mgeni rasmi - wafundisheni hao wakurugenzi uchwara how to behave wanatutia aibu!!! ahahahaha

JK na wageni wake wote wameridhia sasa wewe ugomvi wako ni nini?

infact Dau kawazidi kielimu wote hao so haigombi wao kusimama kama wanafunzi wake...if I'm not mistaken anawapiga somo kuhusu shule na mengineyo juu ya maendeleo
 
Usinielewe vibaya mkuu watoto wa firauni ni wamisri

hio historia siijuwi sana,lkn najuwa walitawala misri na wazaliwa wa misri wengi wao ni machotara.

mfano mdogo. misri ilipochukuliwa na waislamu hasa kipindi cha omar,waraabu kutoka kwenye kisiwa cha waarabu walihamia misri kwasababu ya mto nile wengi walikua toka iraq,yemen na mabedui.

alafu misri ilipotawaliwa na ottoman wa turuki wengi walikuwa wanaishi pale misri hasa kaskazini.kuna actor mmoja wa kimsri nilifuatilia anadamu ya kituruki na anadai kuwa ni ata ma babu zake waliishi misri.

mwisho kuna wa nubi,kama tunavyojua ni kutoka sudan.

misri imegawanyika hivi kaskazini sana ni weupe(damu ya kituruki),katikati waarabu,chini weusi au dark brown.

lkn bado sija jua firaun alikuwa mnubi au mmisri(brown) au mweupe.

lkn misri ya sahv wote wanaungana kwakusema wao ni waarabu na wa misri.(labda kutokana na msemo huo,inawezekana waarabu walienda kwa wingi kule).

wewe unaonaje mkuu wamgu?
 
bora hata waarabu kuliko hao mashoga wa kiingereza, ingewezekana uingereza tuachane kabisa hata mabalozi wao wasiwepo hapa tz. uchafu gani huu.
 
Back
Top Bottom