Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
mkuu umenena vema. hakuna cha kutenganisha hapa. malkia na mrithi wake ni watawala wa uingereza na wakuu wa kanisa na ndio maana anapokelewa na mkuu wa nchi. Kama ni symbolic tu si angepokelewa na mtoto wa chief wa wapogoro ambaye ni prince mwenzake?!Yani hapa mpo mnazunguka point, ushoga ni sera ya freemasons. Na malkia ni m1 wa memba na viongoz wa freemason tena mwenye rank ya juu i.e 33 degrees. So ni kama kutoa hela mfuko wa kushoto na kuweka wa kulia. Stil hela zitaendelea kuwa zako. Conclusion n kwamba royal family=government= freemasons=ushoga. Sioni cha kumtetea malkia hapo na kumtenganisha na ushoga.