mjukuu wangu sheba mbona unahaha kumtetea prince ?unafanya kazi british council?labda nikwambie tu maandamano yatatoa ujumbe kwa familia ya malkia kuwa kijana wao cameron alikosea kutishia nchi maskini kisa hazikubali ushoga.
Asante Babu Jingalao kwa ushauri. Nakubaliana nawe. Nina tatizo tu kuwa lengo halijawekwa clear na mwenye kutoa thread. Kama ndio hilo, hata wao wameshaliona ndio maana Balozi wao amekimbilia kutoa tamko la kukanusha mapema. Yako mambo mengi ya muhimu ya kuandamania kuliko hili. Si kuwa jambo hili halistahili kuandamaniwa, ila naamini kuwa tunamuandamania mtu asiyehusika. Tuandamane basi kwenda Ubalozini tufike tuwasilishe ujumbe wetu pale maana ndio njia inayotumika duniani kote.
Je, angekuwa haji Prince Charles tungefanyaje?