Prince Bagenda ashambulia vikali M4C ya CHADEMA

huyu
naonekana alilala usingizi wa pono M4C imemkurupusha usingizini hivyo anaweweseke.!
 
Siasa za Tanzania hazihitaji akili nyingi..Mimi nina watu wangu nikiwalenga wananipa hela;Maisha yanaenda..kuna hoja ukiibua hata ukimfuata mtu anakupa hela".
Sikubaliani naye kuwa siasa za Tanzania zinahitaji akili...hapo kwenye nyekundu sasa akili ipo wapi hapo?! Kumlenga mtu na hoja ukiwa na lengo la kupata hela ndio akili! Siwezi hata kuuita 'ujanja' huo!
 
Siasa za Tanzania hazihitaji akili nyingi..Mimi nina watu wangu nikiwalenga wananipa hela;Maisha yanaenda..kuna hoja ukiibua hata ukimfuata mtu anakupa hela".
Sikubaliani naye kuwa siasa za Tanzania zinahitaji akili...hapo kwenye nyekundu sasa akili ipo wapi hapo?! Kumlenga mtu na hoja ukiwa na lengo la kupata hela ndio akili! Siwezi hata kuuita 'ujanja' huo!

Huo ni U-Condom wala si ujanja Mkuu.
 
Ha ha ha ha ha... huyu jamaa nasikia ni kibarua wa RA pale Sinza Kijiweni a.k.a New Habari Corporation...Msitegemee jipya toka kwake.. anandikka kuwafurahisha mabwana zake.. political theories zake unapplicable nowadays...siku moja nikutana naye Jolly Club mida ya saa 3 asubuhi Jumapili last year anabwia supu. Nikamuuliza vipi siku hizi umerudi kuwa kijani kijani? akanijibu '' mtu hawezi kuwa mpizani for all his life''..Mwacheni agange njaa zake ana watoto jamani.. Mentally fully depreciated ....MWAACHE
 
Kipindi flani nilisafiri na Bagenda kwenda kwenye moja ya mikutano ya Wanaharakati wa umoja wa Afrika (Mkutano uliotengeneza Azimio la Tripoli-Libya).

Tulizungumza mengi lakini nakumbuka tukiwa kwenye hoteli moja Zurich, Uswiss aliniambia, "Siasa za Tanzania hazihitaji akili nyingi.

Mimi nina watu wangu nikiwalenga wananipa hela maisha yanaenda.Kwanza mimi mwenyewe mgonjwa (Sikuchunguza ni ugonjwa gani alimaanisha) kuna hoja ukiibua hata ukimfuata mtu anakupa hela".

From there nilimu dump Bagenda Prince totally.
Itanichukua miaka ya kuzimu kujadili hoja za huyu (Old man)

Utakuwa ugonjwa wetu huu wakileo ebo!
 
Kada wa chama cha mapinduzi na mwanasiasa mkongwe nchini Prince Bagenda amekishambulia chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kwa operesheni yake ya M4C inayotishia uhai wa CCM.
Katika makala yake ndani ya gazeti la RAI Prince Bagenda amedai M4C ni chama kipya cha siasa ndani ya CDM na kusema hali hiyo ni hatari kubwa kwa ukuaji wa chama hicho na amesema utatokea mvutano mkubwa kati ya wafuasi wa CDM na wafuasi wa itikadi ya M4C.
Bagenda pia amesema kampeni ya M4C wanayoongoza nchi nzima inatangaza sera za shari na chuki.Pia amesema CDM walipata kura nyingi uchaguzi mkuu uliopita kutokana na vita ya makundi ndani ya CCM na kamwe si kutokana na chama hicho kuwa na sera nzuri.Amesema CDM hawana Itikadi inayoeleweka hadi sasa ndiyo maana mpaka sasa wajanja kama yeye wako CCM.

Source:RAI Alhamisi

My Take:
Prince Bagenda alishiriki kusambaratisha chama cha NCCR Mageuzi baada ya kuongoza mgogoro mkubwa huku akikimega chama vipande viwili na yeye akiwa Katibu Mkuu kambi ya Mrema.Baada ya kufanikisha kusambaratisha NCCR,Prince Bagenda alihamia CCM ambapo hadi leo yeye ni kada mwaminifu wa CCM.

Hivi kweli by any standards "Mtoto wa mfalme" Bagenda ana ujanja gani wa kumfanya ajinasibu hadharani?! ama kweli Nyani haoni makalio yake.......!
 
we, usicheze na njaa na ukichukulia kwa sasa migomba kule Rubya inaharibiwa na ugonjwa wa 'mnyauko'.
Lakini ninachokumbuka juu ya Price Bagenda alikuwa mtu mwenye akili sana ila inaonekana sasa kaamua 'kufaidika' nazo peke yake badala ya kushare na Watanzania wenzie

Pia ni mjinga sana mbona asitetee wahaya na wao walipwe fidia ya migomba yao kama wakuleeeee wanaolipwa Ng'ombe baada ya kufa kwa ukame anakuja na agenda za kizamani tena za mkoloni kweli wameshikwa pabaya mbaka 2014 watakuwa wamechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom