Primary school nzuri yenye Boarding jijini DAR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Primary school nzuri yenye Boarding jijini DAR

Discussion in 'Matangazo madogo' started by GAMBLER, Sep 11, 2010.

 1. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu, Ninatafuta shule nzuri yenye Boarding kwa hapa DAR, Kijana wangu anasoma Boarding ya St. Marys ya Tabata(primary) nataka kumtoa kwa sababu hii shule ni ya kisanii, naomba msaada wenu kwa mwenye kujua.......
   
 2. m

  manyusi JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Helo man what i can advice you achana na masuala ya kupeleka watoto borading school wakiwa wadogo,now days wazazi wanajivua majukumu ya kulea na kuwaachia waalimu unajua madhara yake?upendo wa mtoto kwa wazazi unapoa na mtoto anakuwa haoni umuhimu wa wazazi anaona hata bila wazazi anaweza akaishi yeye mwenyewe hata anapokuwa likizo unaweza ukaugua ukashangaa mbona mtoto haulizi hata hali yangu?kumbe haoni umuhimu wako anaona mwalimu ni muhimu kuliko wewe na mtoto anakuwa na tabia za ajabu ambazo pengine wewe kama mzazi huzipendi,kaa na mtoto tafuta day school,kila jioni uone maendeleo ya mtoto kama huna wa kumtunza now days primary school zina nafasi ya day care mtoto anakaa mpaka ukitoka job unampitia.Huwezi amini shule za boarding wanazosoma watoto kwa sasa wananajisiana na kusaganani hatari kubwa sikuamini siku moja kabinti ka darasa la tano kanasimulia kanavyosagana na mwenzake mbele ya kanisa baada ya kuletwa kuombewa baada ya mama kugundua tabia chafu ya mwanae,kanisa zima lilizizima kwa huzuni.acha hizo fikira sidhani kama wewe ulisoma boarding katika umri mdogo tuache kuiga mambo ya wazungu ni hatari kwa watoto mpeleke mtoto boarding akiwa sekondari hapo sikupingi.Pima ushauri huu
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Oooh....God in the name of Jesus!...

  Huh!....Dunia imeenda pabaya!..Hivi siku zimekimbilia wapi!:A S embarassed:

  My Broda Gambler, ambu sikiliza ushauri wa huyu mdau, ukae na mwanao nyumbani!
  Shule nzuri za kwenda na kurudi ziko nyingi bana!...huh!..nimechoka.


   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama utainsist boarding, jaribu Epifan kwa Faza Bayo bagamoyo, sio mbali sana na dar, ni nzuri sana
   
Loading...