Naomba msaada, naishi na kijana Ambaye Hana baba Wala mama. Nimemlea tangu darasa la kwanza. Uwezo aloo nao ni mkubwa amefauli vizuri darasa la saba Kwa wastani wa A. Natamani apate shule nzuri ya government boarding coz mambo yangu sio mazuri., Ningempeleka private. Naomba msaada Ili aweze kuchaguliwa boarding.