Kiongozi hii "KEIWAI" K.Y ina stand for "KEKI YETU" au "KATIBA YETU" au ? Na kazi yake nini ? Nasubiri jibu niko Malabrikanti Bar mda huu.
Hamjuo kwa ukaribuEti hii jamaa iko guvu mingi ! Apana gopa eeh ?
Ile mutu naitwa Mc!
mwambie ashuke haraka, akaunge maharage tule....
We tongoza tu jamvini,iko siku utatokewa na njemba ina panga na keiwai,shauri lako.
mwambie ashuke haraka, akaunge maharage tule....
Tena makubwa balaaauwiiiiiiiiii......watu mna mambo........e e......
uwiiiiiiiiii......watu mna mambo........e e......
Nimempigia sana hapokei ! Ni ushahidi tosha yuko juu kweli !
Hata ndo ingekuwa wewe BT uko juu ungeitika ? Na sauti ikatoka?
thubutuuuuuu....
Nisingeitika walaahiii ...
'juu' si mchezo ati....