tunalazimika
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,098
- 259
unajua tangu ni join jamvini nimekuwa bush na ni-browse kwa handet ambayo ki-ukweli capacity yake ni ndogo kuweza kuona Avatar za wana jf na hivyo mim nilikuwa nimejijengea Avatar zangu mwenyewe za kisaikolojia ambazo kwa kweli baada ya ku-browse kwny moderm nimekuja kuona utofauti mkubwa sana. kwamfano kutokana na Preta kujishebedua sana na mwarabu wake nilijua ndo Kisura wa Jf yeye na Husnyo-kumbe bwana kisura ni Michelle:smiling:. nilikuwa kama story ile ya kipofu na kuku-nadhani wengi mnaikumbuka(kipofu alipobahatika siku moja kuona kwa sekunde alifanikiwa kumuona jogoo-basi akiambiwa hili ni ghorofa, anauliza eti ni kubwa kuliko jogoo)-nilikuwa kipofu kabisa-am enjoying to see your Avatar
Tena anaonekana huko bush alikuwa anatumia chimpumu.Hatuwezi kuwalinganisha Preta na Michelle kwakuwa Preta tumeshamzoea nahisi kama ni mdogo wangu nitakuwa 'biased',Michelle bado mgeni.kijana, punguza pombe.
kijana, punguza pombe.
Una uhakika gani wenyewe wanafanana na hizo avatar ?
Tena anaonekana huko bush alikuwa anatumia chimpumu.Hatuwezi kuwalinganisha Preta na Michelle kwakuwa Preta tumeshamzoea nahisi kama ni mdogo wangu nitakuwa 'biased',Michelle bado mgeni.
Si umesoma jamaa tayari ana idea kichwani kwake mnavyoonekana .Heee! Husninyo kaingiaje hapo na mtoto wa watu hajaweka avatar wala nini.
Heee! Husninyo kaingiaje hapo na mtoto wa watu hajaweka avatar wala nini.
Si umesoma jamaa tayari ana idea kichwani kwake mnavyoonekana .
Haya huyu mwingine tena 'the power of the mind' hahaha!Dont mind in my Mind you are a KISURA, mcheshi, na mchangamfu mwenye tabasamu zuri...
Dont mind in my Mind you are a KISURA, mcheshi, na mchangamfu mwenye tabasamu zuri...
Si umesoma jamaa tayari ana idea kichwani kwake mnavyoonekana .
Heee! Husninyo kaingiaje hapo na mtoto wa watu hajaweka avatar wala nini.
Haya huyu mwingine tena 'the power of the mind' hahaha!
Haya huyu mwingine tena 'the power of the mind' hahaha!
Good idea hata mimi mawazoni tayari na picha yako lol! 'ana lips paana akicheka ana mwaanya'ngoja nifanye mpango niweke kipicha tuipumzishe hiyo power of mind.