Preta i miss you!

Preta i miss you!

wacha tu shem.....mapendo yanamwagika.....
Preta msalimie Derimto asee!!!
Mwambie salammm kutoka makao makuu!!!............Kimya kimya! usiulize mpwa!
 
kitu cha mbinyo kitahusika....tih tih tih
Basi namstua SV kuwa tukukaushie mara 4zaidi ili uwe na hasira doubledouble, hatimaye siku hiyo uzimalize kwa jazba!
Si unapajua pale tunapopewaga makoti ya kujikinga na baridi eeh?..panahusika siku hiyo!
 
Preta msalimie Derimto asee!!!
Mwambie salammm kutoka makao makuu!!!............Kimya kimya! usiulize mpwa!

ooohooo....ok....polar bear anaelekea kusini au kaskazini.......na hiyo safari ameanza lini?
 
Basi namstua SV kuwa tukukaushie mara 4zaidi ili uwe na hasira doubledouble, hatimaye siku hiyo uzimalize kwa jazba!
Si unapajua pale tunapopewaga makoti ya kujikinga na baridi eeh?..panahusika siku hiyo!

tih tih tih......mlipendeza
 
ooohooo....ok....polar bear anaelekea kusini au kaskazini.......na hiyo safari ameanza lini?
bear anatoka kusini anaenda kaskazini..........then anarudi kusuni Usalule akiwa na busara za mama busara!!
Shhhh!!!!
 
shemeji?! Kwa nani tena?

Hahaaaaa..............Kwani mkuu wewe ni mgeni sana hapa jamvini?.....

Nyways.......Ngoja Preta aje kujibu hili swali.....

Btw.......Usiwe na hofu.......................
 
oryt oyrt mhandisi........sie bado tunapambana na nyaya huku rhotia mpaka kimba......nyt nyt
Hey love!! long tym??? hata tukiwa kifungoni hamtukumbuki? mmeyasahau maagizo ya bwana wetu yesu kristo?
 
Mhandisi ukitoka safarini libya ningependa kujua khs huyu MEMO nimempenda ghafla....
 
Hahaaaaa..............Kwani mkuu wewe ni mgeni sana hapa jamvini?.....Nyways.......Ngoja Preta aje kujibu hili swali.....Btw.......Usiwe na hofu.......................
sio sana but mambo yanabadilika!
 
Back
Top Bottom