😂😁😁😁Huyo hawezi kubembeleza! Mfariji gani nikilia na yeye analia hadi kwikwi😂
ndik mnashare Maumivu wote? Definition ya kwa shida na raha😂Huyo hawezi kubembeleza! Mfariji gani nikilia na yeye analia hadi kwikwi😂
Mada ya pressure cooker ila unataka ubembelezwe humu😁😁Huyo hawezi kubembeleza! Mfariji gani nikilia na yeye analia hadi kwikwi😂
Nahitaji mfariji wa ukweli, nipite nae kwenye bonde la maumivu😂ndik mnashare Maumivu wote? Definition ya kwa shida na raha😂
😉Mada ya pressure cooker ila unataka ubembelezwe humu😁😁
Min ake anasifa zisizo na mawaa mtapita nae kwenye bonde la uvuli wa shida, na raha, na mishale yote.🤣🤣 Say yes kwake. nipige kigelegele Cha kikurya🤣🤣🤣Nahitaji mfariji wa ukweli, nipite nae kwenye bonde la maumivu😂
😂😁😁😁 Njoo nikufariji mchana pilau Jioni chipsi samaki na bia ya safariNahitaji mfariji wa ukweli, nipite nae kwenye bonde la maumivu😂
Naunga mkono hoja 🤣😁😁Min ake anasifa zisizo na mawaa mtapita nae kwenye bonde la uvuli wa shida, na raha, na mishale yote.🤣🤣 Say yes kwake. nipige kigelegele Cha kikurya🤣🤣🤣
Ili kesho nipokelewe mlangoni mwa jf na uzi🙄😂😁😁😁 Njoo nikufariji mchana pilau Jioni chipsi samaki na bia ya safari
😁 umenijaza kichwa hatariMin ake anasifa zisizo na mawaa mtapita nae kwenye bonde la uvuli wa shida, na raha, na mishale yote.🤣🤣 Say yes kwake. nipige kigelegele Cha kikurya🤣🤣🤣
Hapana 😂🤣😁😁😁Ili kesho nipokelewe mlangoni mwa jf na uzi🙄
Wewe ndio Furaha ya bonge akee.🤣🤣 Anaweza kutununia sisi wote ila wewe ukija tu. Anasmile 😂😂 note hilo😁 umenijaza kichwa hatari
Naunga mkono hoja 🤣😁Wewe ndio Furaha ya bonge akee.🤣🤣 Anaweza kutununia sisi wote ila wewe ukija tu. Anasmile 😂😂 note hilo
Hahhahaha , kumbe ni bonge 😁Wewe ndio Furaha ya bonge akee.🤣🤣 Anaweza kutununia sisi wote ila wewe ukija tu. Anasmile 😂😂 note hilo
Mwaka huu nisipopungua sijui! Sihitaji diet kabisa, naiona kazi yenu walimwengu😂🙌Wewe ndio Furaha ya bonge akee.🤣🤣 Anaweza kutununia sisi wote ila wewe ukija tu. Anasmile 😂😂 note hilo
Punguza kitambi 🤣😂😁Mwaka huu nisipopungua sijui! Sihitaji diet kabisa naiona kazi yenu walimwengu😂🙌
Sio kweli mkuuNaunga mkono hoja 🤣😁