ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,517
- 71,241
šongezeni dose kitambi kiwe flat hikiPunguza kitambi š¤£šš
šongezeni dose kitambi kiwe flat hikiPunguza kitambi š¤£šš
Njoo niwe trainer wako jimu home hapašongezeni dose kitambi kiwe flat hiki
šššSio kweli mkuu
Kwa Mujibu wake na album alizotutumia mi nimemwamini yeye au wewe unasemaje minš¤£š¤£š¤£Hahhahaha , kumbe ni bonge š
Kumbe una kitambi loooooh basi futa namba yanguššongezeni dose kitambi kiwe flat hiki
Mimi alinitumia picha kiuno nyingu nyuma kafungasha ,loooh kumbe anakitambiš¤Kwa Mujibu wake na album alizotutumia mi nimemwamini yeye au wewe unasemaje minš¤£š¤£š¤£
Mwaya usijali Min ake akiridhika usituskilize sisiššMwaka huu nisipopungua sijui! Sihitaji diet kabisa, naiona kazi yenu walimwengušš
škhekhekhe!! Hata sikuisaveKumbe una kitambi loooooh basi futa namba yanguš
No no no no Haitakiwi kuwa hivi Min kwani kitambi kinamakosa Ganiš¤š„ hapana. Msitiri mwenzako š„Kumbe una kitambi loooooh basi futa namba yanguš
Subiri nile soseji zangu kwanza! Mbinguni nitapewa mwili mpyaāŗļøMwaya usijali Min ake akiridhika usituskilize sisišš
Muache aende! Baadae tu hapo naweka mwinginešNo no no no Haitakiwi kuwa hivi Min kwani kitambi kinamakosa Ganiš¤š„ hapana. Msitiri mwenzako š„
Wewe njoo ujumuike usiogopeš
Anakula mno huyo kila mda anafukia makitimotošNo no no no Haitakiwi kuwa hivi Min kwani kitambi kinamakosa Ganiš¤š„ hapana. Msitiri mwenzako š„
Sawa bossš
usikaze sura bossSawa bossš
Pressure cooker za von ni chapa kubwa na zina ubora wa hali ya juu kuzidi kodtel , tatizo hapo gharama zake huwa za juu sana tofauti na chapa ya kodtelusikaze sura boss
Dada yako hajambo ?usikaze sura boss
Kodtel ndio kampuni ipi hiyo? Unaweza kuweka ushahidi wa hiyo kampuni?š¤Pressure cooker za von ni chapa kubwa na zina ubora wa hali ya juu kuzidi kodtel , tatizo hapo gharama zake huwa za juu sana tofauti na chapa ya kodtel
Wanauza bei Gani mbona hukuniambia mapema hadi nimevamia brand nyinginePressure cooker za von ni chapa kubwa na zina ubora wa hali ya juu kuzidi kodtel , tatizo hapo gharama zake huwa za juu sana tofauti na chapa ya kodtel