Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,596
- 81,044
Ulikuwa sio aphen yake yule niliye mazoea 😎🙄🙄🙄Picha huoni hata kusoma hujui😂
Ulikuwa sio aphen yake yule niliye mazoea 😎🙄🙄🙄Picha huoni hata kusoma hujui😂
Vile nimevifua☺️Ulikuwa sio aphen yake yule niliye mazoea 😎🙄🙄🙄
Mashallah 😎😎 na ulivyo na miguu mizuriVile nimevifua☺️
Pika viungo vyako pembeni ikifika kuweka mchele.. weka viungo vyako Kwa rice cooker na maji ya kutosha😎😎😎😂🤣😁😁😁😁😁 Nataka kupika pilau
Na nyama je ?Pika viungo vyako pembeni ikifika kuweka mchele.. weka viungo vyako Kwa rice cooker na maji ya kutosha
Thanks sana 😎 ubarikiweUtakuwa ushaipika pembeni.. kwenye rice cooker unaweka ulivyokarangiza + maji ya kuivisha mchele àmbapo ukimix ni pilau
nunua vonMambo.
Nimekutana na haya mawili Von na Kodtec pressure cookers.
Kwa budget ya chini ya Tsh 200,000/= nichukue lipi?
Au kuna suggestion nyingine?
Zinapatikana kila sehemu ni wewe useme uko wapi..
Kama uko dar nenda kariakoo ulizia watu wanaitwa "nida danish" kama uko arusha ninda kwa bensoni..
Wote hao bei zao zinachezea kwenye hiyo rang
1. Nutricook inauzwa around 350k
2. Von inauzwa around 230k
NB: Itabidi uongeze bajeti.