Sisi Wana Yanga Kindaki ndaki tumechoshwa na Lawama Malalamiko ...! Hatutaki Lawama......!
Nini Kipya Cha Press..! nini Kipya?
Nashauri tupunguze Wazee waliokuja kwa Ajili ya Pensheni...
Bigirimana
Aucho
Kisinda
Yanick Bangala
Juma Shabani..... !
Yaani Hawa Soka La Ushindani Walisha limaliza siku nyingi Sasa Wanatafuta Pensheni Watamalizia Wapi. ..?
Carrier yao Watamaliza Vipi...! Wanamaliza Tz?
Sasa unawapambanisha na Watu Kama...
Last born Magic boy.... Peter Banda
Shakho Pape Osman...Miracle boy..
Moses Phiri .... Le General
Okrah Magic....!
Kanoute.....Putin
Tripple C .....Huyu ni Mwamba Wa Africa,sio Lusaka tu...!
Ochieng ...Kitasa
Outtara. ...!
Mzamiru,Mwenda,Moh'd Tshabalala...?
Enonga Baka.....!
Wote Hawa Wanaitaka Michuano Migumu.
Wana Malengo Hawajamalizaaa!
Bado Wanasaka Maisha...!
Tahadhari :
Lawama sio Tija,Majibu
mepesi pia Sio tija(Kama Mpira una Matokeo Ma3...)..!
Tunawasubiri...!