Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

iv ) Uwazi na uwajibikaji
ACT Tanzania inaamini katika uwazi kwenye mambo yote ya kijamii na kitaifa. Hivyo basi viongozi na wanachama wa ACT-Tanzania wana wajibu wa kupigania uwazi katika mambo yote wanayofanya kwa ajili ya umma. Sambamba na uwazi,
ACT - Tanzania inaamini kwamba kila mwananchi na kiongozi mwenye dhamana katika umma ana wajibu katika jamii na Taifa kwa ujumla na ni jukumu lake kutekeleza wajibu huo bila kinyongo. Aidha, mwanachama na kiongozi atokanaye na ACT Tanzania anapaswa kuwajibika kwa maneno na matendo yake katika utumishi au nje ya utumishi wa chama au taasisi
yoyote ya umma. ACT Tanzania inaamini kwamba bidii katika kazi ndiyo njia pekee ya kujipatia maendeleo.. Hivyo basi wajibu mkuu wa mwanachama wa ACT Tanzania
utakuwa ni: BIDII KATIKA KAZI.

uu wapi uwazi wa mabilioni ya uswisi? Alienda na hakurudi na kitu chochote harafu leo na M..GAMBA wanajiita wawazi kwa umma MAPRITENDER wakubwa. TZ bila cdm ni sawa baadhi ya wabunge bila uchawi haiwezekani>
 
Heri ya Padri ana CCBRT ambako mama yako atatibiwa FISTULA, Limbu mpika ubwabwa kwenye sherehe na kwenye hitma atatupeleka wapi?

mkuu umenena huyu limbu mcheza bao na mnywa kahawa anaweza kuleta mabadiliko gani.OAC ina mkono nyuma act na zzk ana agenda binafsi
 
dj anaemiliki danguro la billcanas ataleta maendeleo gani?
DSC.11.jpg




mkuu Limbu kaondoka lini ADC, bingwa wa kuanzisha Vyama, nadhani humjui, mwambia MM kaingizwa chaka kama watu anaowategemea ndio hawa? pole zake,
 
mkuu umenena huyu limbu mcheza bao na mnywa kahawa anaweza kuleta mabadiliko gani.OAC ina mkono nyuma act na zzk ana agenda binafsi

Huyo jamaa kwa wasiyo mjua ndio watapata taabu, Zitto kaingizwa Chaka, ADC imefia wapi na LIMBU alikuwa mhusika Mkuu, kampoza Hamed Rashid kahamia kwa zitto, Pole zako MM
 
POMPO

dr. slaa alikuwa ccm, baada ya kushindwa uchaguzi akakimbilia chadema.
lema alikuwa tlp, kwa uroho wake wa ubunge akakimbilia chadema .
mbowe alikuwa ccm, akakimbilia chadema kwa mkwe wake.
kwa hiyo hawa huwaoni au unajitoa akili tu
 
Last edited by a moderator:
Waangalie tuh chama chao kisiwe na UDIINI NA UKABILA KAMA CHAMA CHA WACHAGA WA CHADEMA
 
Ndugu zangu wa CDM: Hii propaganda ya UDINI kwa ACT ina manufaa kwetu? Si itaonekana tunauhami Ukristo wetu tuu? Nadhani tungetafuta propaganda nyingine.
 
Hakika hichi chama bora hata kingeanzishwa Dodoma tungesema kimekuja na mabadiliko. Chama hichi ni cha wana KIGOMA hakika labda kiende Congo na Burundi si kwa Tanzania ya leo? Wasaliti ni nani atakayeambatana nanyi? Ni aibu kwa watu mliofukuzwa kuanzisha chama hakika hapa ni kwatwanga maji. Politics is all about fighting for power.......
 
Mimi siku zote najua ACT ndicho kile chama cha ADC kumbe iki ni kipya: Association of Cheaters and Traitors
 
Hakika hichi chama bora hata kingeanzishwa Dodoma tungesema kimekuja na mabadiliko. Chama hichi ni cha wana KIGOMA hakika labda kiende Congo na Burundi si kwa Tanzania ya leo? Wasaliti ni nani atakayeambatana nanyi? Ni aibu kwa watu mliofukuzwa kuanzisha chama hakika hapa ni kwatwanga maji. Politics is all about fighting for power.......

kwa hiyo kigoma sio tanzania? nyie wachaga wa chadema ni wabaguzi sana
 
Mmeshaanza kutokwa na povu ehhh! na bado hichi chama ndio mkombozi wa mtanzania.

ADC kilikuja na mbwembwe kama hizi na bendera yake ilikuwa ikifanana rangi na ya CDM leo kipo wapi?
 
Kinachonishangaza chama hiki kinaungwa mkono na wale wapinzani wote wa CDM pamoja na wana CCM kitu ambacho kinatoa picha halisi ya lengo la hiki chama.
 
Back
Top Bottom