Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
limbu ni mdini wa kutisha tangia alipokuwa cuf sasa ameungana na mwenzie zzk kujihidhirisha tabia zao
Chama kimeanza kustawo UJIJI, kuna nini zaidi ya udini?
limbu ni mdini wa kutisha tangia alipokuwa cuf sasa ameungana na mwenzie zzk kujihidhirisha tabia zao
na nyie padri atawavusha mnakotaka?
Chama kimeanza kustawo UJIJI, kuna nini zaidi ya udini?
Heri ya Padri ana CCBRT ambako mama yako atatibiwa FISTULA, Limbu mpika ubwabwa kwenye sherehe na kwenye hitma atatupeleka wapi?
Heri ya Wachaga wanafanya maendeleo tunayaona kuliko WAHA waliojaa UNAFIQ wa kisiasa
Sasa huyo Zitto sio Mzinzi? Huyo mtoto aliyenae alizaa na mama yako?padri mzinzi anaepora wake za watu?
na kile cha kinachoongozwa na padri sio cha kidini. chenye ngome yake moshi
na nyie padri atawavusha mnakotaka?
bendera za marekani na china zina nyota. anza kuwauliza hao kwanza
hapana. ni cha wakristo wa kichaga
kwa hiyo na nyie mnavyopelekeshwa na mbowe kibabe hamuoni?
Sera za CCM nanyié misukule ya Chadema mnayo makubwa!
Chadema ikifa wazee wale sijui watapata wapi hela ya kutumia act inaiua chadema.
Hiki chama hakifiki hata Mwaka mmoja kitakuwa chali na baada ya 2015 lazima wagawane Mbao kwa Ugomvi wa Ruzuku.