Press conference ya ACT-Tanzania

Press conference ya ACT-Tanzania

Kwa nini hiki chama kinaitwa ACT Tanzania na siyo ACT tu .........................Wanajitofautisha na ACT ip!!!!??
 
hongera mwenyekiti wa act naona mmekuja na ids mpya Mpya kutudanganya wa Tz ....mtashindanda lakini hamtashinda.......

Taifa kwanza, Chama baadae...wakati wao wenyewe wameanzisha chama. Kwa nini wasisubiri hiyo baadae waanzishe hicho chama?
 
Mbowe ajiandae kurudi kwenye bashara zake za kilaghai chadema lazima ipotezwe kwenye siasa za tanzania tuliwambia wamuombe msamaha zitto wakajifanya wajanja sasa fimbo wanazo.

CHADEMA imewashinda mnadhani kwa kutumia majeshi ya kukodi ndiyo mtaiweza CHADEMA?.Nguo ya kuazima haisitili uchi.
 
Nimecheka kweli mwenyekiti ni Limbu? ADC ameshahama?

Huyu ni bingwa wa kushinda pale mgahawa wa Lumumba "jobless corner"

Msukuma mmoja mpishi sana, anajinenepea kama puto, kwa sasabu ya kula "kimjini mjini"

Kama hivi ndivyo hiki ni CCM C, hongereni maccm kwa kuoa mke wa pili...
 
huyo mwenyekiti Limbu alikuwa CUF,akakimbilia ADC,nako tayari amehasi sasa ni ACT!kweli huu ni muungano wa waasi ambao utadumu tu iwapo jumapili mbili zitakuja kwa pamoja!

Ameenda ACT kumwandalia Zitto makao
 
Nimecheka kweli mwenyekiti ni Limbu? ADC ameshahama?

Huyu ni bingwa wa kushinda pale mgahawa wa Lumumba "jobless corner"

Msukuma mmoja mpishi sana, anajinenepea kama puto, kwa sasabu ya kula "kimjini mjini"

Kama hivi ndivyo hiki ni CCM C, hongereni maccm kwa kuoa mke wa pili...

We unadhani nani mwenye akili atakubali kupelekeshwa Kibubusa bubusa na Zitto? Lazima wawapate viazi kama Limbu
 
Last edited by a moderator:
Ukombozi wa watz uko mbali sana baada ya huu wa CHADEMA kuingiliwa na kidudu mtu ACT-ZITTO. Mimi nashauri wananchi tuchukue nchi ss wenyewe tukiendelea kusubiri vyama hivi hatutakomboka toka kwa mkoloni mweusi.
 
We unadhani nani mwenye akili atakubali kupelekeshwa Kibubusa bubusa na Zitto? Lazima wawapate viazi kama Limbu

kwa hiyo na nyie mnavyopelekeshwa na mbowe kibabe hamuoni?
 
Last edited by a moderator:
limbu ni mdini wa kutisha tangia alipokuwa cuf sasa ameungana na mwenzie zzk kujihidhirisha tabia zao
 
Back
Top Bottom