Alifanya Nape, kapata uenezi, kafanya makonda akapata ukuu wa wilaya na sasa ni huyu pimbi. Mtasikia naye kapewa mabaki kabla ya oktoba. Wote wamepata kupitia mgongo wa matusi kwa Lowassa, na Lowassa hajafanya kitu chochote. Kitendo cha Lowassa kuwaacha hawa watoto waendelee kumdhihaki bila kuchukua hatua kunatia shaka kwamba Lowassa anaogopa akichukua hatua za kisherai yatajitokeza mambo mengi ambayo hataki watanzania tuyasikie kuhusu yeye. Kama Lowassa hana uwoga wowote, inatakiwa achukue hatua za kisheria mara moja. Tuhuma ya ujenzi wa jengo la AICC, ambalo lilijengwa miaka 70 wakati Lowasa alikuwa shule nadhani siyo sahihi. Labda kama kulikuwa na extension ya jengo hilo wakati Lowassa alipokuwa mkurungenzi, wengine hatufahamu.