Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
Comrade Francis Heri Hoza Mjumbe kamati ya utekelezaji ya balaza la UVCCM mkoa wa morogoro Na Mwenyekiti mstaafu wa shirikisho la ELimu ya juu la wanachama wa CCM Mkoa wa morogoro.
Nimesoma tamko hili hadi kwenye hitimisho hilo hapo juu. Huyu ameshakuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Shirikisho la Elimu ya Juu la Wanachama wa CCM Mkoa wa Morogoro!!! Maskini, kama mtu alikuwa na wadhifa mkubwa namna hiyo, halafu uandishi wenyewe ni wa kipuuzi hivi, basi nchi hii ina kazi kweli kweli!! Hivi ndani ya CCM hata ile nidhamu ya kuheshimiana nayo imekufa?