aiseee kwel mwaka huu kuna mengi kuliko nilivyofikilia.....
mkuu acha kusumbuka, watu wote c.c.m ni wabaya sana, tena wengine watoa roho za watu bora huyu kaiba tu km ulivyokomalia, wameuawa watu na hao unaowaita wema, wanadhalau hata maoni ya wananchi hao unaowaita wasikivu.....
wamefanya maisha kuwa magumu hao uliowaita wana nia nzuri na nchi.
NAOMBA NIONGEE JAMBO MOJA TU,
NI LOWASSA PEKEE ALIEKUWA WAZIRI WA MIFUGO AKATOA AMRI WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MIFUGO WAPANDISHWE MADARAJA NA MISHAHARA,
Toka atoke kila kitu kikarudi as usual.
NAKUPENDA LOWASA KAMA UNASOMA THREAD Ni PM tu walau neno la asante nifurahi.
Mmezoea kudekezana nchi inaoza, tunataka kiobgoz asiengalia watu usoni ili nchi irudi kwenye msitari....
kagame is like lowasa, ukichaguliwa waziri kuna sehem ya kusain kuanza kazi na sehemu ya kusaini ya kuachishwa kazi anytime ukileta kulepetwa kazini.....
kwa mantiki hiyo rwanda ipo pazuri.....
nitakesha nikiandika ilihali sijawah andika mambo ya siasa mm, lowasa go go go,
ningekuwa mwandishi wa hbr afu uniite conference kama hii walahi ungefaidi vibano vyangu tena kwa kutumia camera na mateke.......
ww ni engineer wa nosenseeeeeee