WATANZANIA WANATAKIWA KUMPUUZA EDWARD LOWASSA
...................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Mwisho upo msemo usemo MAMBO HAYAENDI VIBAYA KWA SABABU WATU WABAYA WANAYAFANYA LA HASHA ILA NI KWA SABABU WATU WAZURI WAMEKAA KIMYA...Kwa niaba ya watu wazuri wote wanaoitakia mema nchii hii Nimeamua kuvunja ukimya dhiidi ya watu wabaya wanaotaka kulipeleka taifa hili sehemu mbaya
Asanteni kwa,kunisikiliza
Nawatakia kazi njema.
Comrade Francis Heri Hoza Mjumbe kamati ya utekelezaji ya balaza la UVCCM mkoa wa morogoro Na Mwenyekiti mstaafu wa shirikisho la ELimu ya juu la wanachama wa CCM Mkoa wa morogoro.