Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
Hapo kwenye muda mkuu ndio palinitatiza si unajua sisi huku Kilindi saa hizi inakaribia kabisa saa 4 asubuhi nikajua nimeshapitwaa...! Ahsanteni kwa taarifa ila msisahau muda huo ukifika mumwambie Yericko awahi kama alivyowahi Mahakamani

makamanda mnanipa raha. nikikumbuka story ya Yeriko. afu na hichi kibwagizo mnanipa raha.
 
Mtajua wenyewe magamba....sie tunaweka ant-virus tu ndani ya cdm...

Karibu chikandanga nnung'unwangu nangu nguve kwenu kunewala! Ulyamba au matamba na likavenga ngunishiba!

Sasa mmeweka muda maana tangazo la Tumaini halikuwa na muda! Kumbe kukosoa kwetu kumesaidia
 
Letwni habari wengine tumetoka kanisani kuja huku nje kusikilizia hii presi konferensi
 
Hii ya Marando inasemekana ni uzushi, Tumaini Makene ametoa taarifa kupitia wall yake ya fesibuku.
Hii ya Mabere hata mimi siwezi amini maana huyu jamaa ni mwanamageuzi hata kabla hayajawa rasmi hapa TZ. Hawezi kukubaluana na ujinga wa kina Zitto tamaa
 
Last edited by a moderator:
Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
Fotoa jipicha nejo unavike malove hapa! CDM imeingiliwa hadi na wamakonde.......
 
Tushajua kua kitila na mwigamba mshawatimua hakuna kipya apo..chadema yangu ile
 
Karibu chikandanga nnung'unwangu nangu nguve kwenu kunewala! Ulyamba au matamba na likavenga ngunishiba!

Sasa mmeweka muda maana tangazo la Tumaini halikuwa na muda! Kumbe kukosoa kwetu kumesaidia
Muda ni baada ya misa ya kwanza kuisha
 
Kitila kafukuzwa chadema na kule anakofundisha nako kavuliwa ukuu wa idara...hahaaa pole mwalimu wangu
 
Mt Kilimanjaro huna lolote ati una board kwenda wapi? Daladala toka Kimara kwa wachaga hadi mtaa wa ufipa? Nimecheka sana asb hii!

Haya board ndugu yangu Kimara kinondoni
 
mpaka waitwe?? waandishi wa habari watakuja wenyewe tu, hapa mmeishakosa mvuto mmedharauliwa
 
Karibu chikandanga nnung'unwangu nangu nguve kwenu kunewala! Ulyamba au matamba na likavenga ngunishiba!

Sasa mmeweka muda maana tangazo la Tumaini halikuwa na muda! Kumbe kukosoa kwetu kumesaidia

likavenga ha ha ha kitambo sana kaka.....mi wa masasi mkuu,born and raise in mtwara municipal...
 
Dr mkumbo na mwigamba wamenyang'anywa uanachama na marando amerudisha kadi

Marendo amependekezwa kuteuliwa kuwa Mbunge wa bunge la Katiba! Hizo Habari za Kurudisha kadi ni za huko Lumumba street!
 
Kitila kafukuzwa chadema na kule anakofundisha nako kavuliwa ukuu wa idara...hahaaa pole mwalimu wangu

Habari njema hapa Iramba kwa kuwa wanazi wengi wamehuzunishwa sana! Kweli ya Kaisari mwachie Kaisari...,

Ndio basi CDM Iramba lol..... Mkuu Mpumaminyongo utakuwa umelazwa sasa hapo Kinampanda pole kwa msiba mkubwa! Najua ulifanya kazi kubwa na Kitila sasa pole sana!

Hao ndio CDM....... Kesho watakufukuza wewe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom