Press Conference - CHADEMA HQ

Press Conference - CHADEMA HQ

Status
Not open for further replies.
Yaani kuna kundi kubwa la vijana wa CDM hapa Kiomboi wamechanyikiwa kabisa wamekosa Raha kabisa na waliowengi walijitoa kwa Mkumbo kwa 100%.

Sasa ndio mwanzo na mwisho wa CDM Iramba sasa mmoja wa vijana nilimsikia akisema huyu Mwigulu sasa Hana mpinzani" wameyataka wenyewe!

Poleni sana sie hayatuhusu
Chadema ni Saccos ya kaskazini wakuja hawana chao
 
Marando thlimstukia siku nyingi plan yake imechemshaya kuua upinzani. Niliongea na Dr. Lamwai akakiri kuwa. magamba yanatumia chombo cha usalama kuua upinzani maadamu. cdm wamesha msutukia marando wako safe

Hivi hata Dr. Silaa akirudisha kadi leo utasema ulikuwa umeshamstukia? Tafadhali naomba kujua sababu aliyoitoa wakati akirudisha kadi
 
Hatufanyi kazi ya Kitila Iramba tunafanya kazi ya Chadema! Wapo wasomi wengi tu waliotia nia Iramba Magharibi kugombea kupitia Chadema.

Wee sio mnyiramba acha kuudanganya umma! Kwa kweli Ule usemi usemao fahari wawili wapambanapo ziumizao ni nyika!
 
Hii kazi ya updates ungemuaachia Yericko Nyerere yule bwana ni hodari wa hekaya...ataanza sasa ni majira ya asubuh saa tatu, tupo kaskazini mwa dsm mtaa wa ufipa, nyuzi joto ni 26, naona watu wamevalia kombakti ukitaka kujua hali zao ni shwari, maara namuona kamanda mnyikaa...hiki ndicho kitu anachoweza, yaani umbeya
 
Last edited by a moderator:
inaonekana adui yao ni Mwigulu, ila nauliza Walijitoa kwa Kitila kama CDM au kama yeye mwenyewe Mkumbo? Iwapo kama Kitila bila CDM basi hakijaharibika kitu maana bado yupo, ila kama waliipenda CDM pia bado ipo,wao wajiandae kumtoa Mwigulu kwa namna yoyote
Yaani kuna kundi kubwa la vijana wa CDM hapa Kiomboi wamechanyikiwa kabisa wamekosa Raha kabisa na waliowengi walijitoa kwa Mkumbo kwa 100%.

Sasa ndio mwanzo na mwisho wa CDM Iramba sasa mmoja wa vijana nilimsikia akisema huyu Mwigulu sasa Hana mpinzani" wameyataka wenyewe!

Poleni sana sie hayatuhusu
 
Naona kwa sasa mmeishiwa kabisa mapozi,

Heheee ngebe zote kwishaaa!
Yericko kumbuka ya kwamba mipira haitumiki mara mbili kwa sababu za kiafya na hofu ya kupasuka.Pigia mstari,baada ya kutumika kumchfua Zitto hautokuwa na matumizi tena.
 
Mi ndo natoka church, siasa za bongo zimenichosha, mahubiri yalikuwa mazuri sna, yamenijenga kiroho na kimwili
 
Muulize Yerricko Nyerere anamjua sana na kila mtu Musoma Mjini anajulikana Kama DOI wa CCM

Kwani Musoma ni kata ya Iringa vijijini? huyu jamaa amelipenda tu jina la Nyerere si mtoto wa mwalimu.
 
We uliye hai unahangaika nini na vitu vilivyokufa...kaa pembeni acha kife.mnadhani chadema ni ccm mnakaa na mizoga mnaogopa kuitimua...

Mkuu CCM mizigo ndo roho yao , wakiitua na wao kwa heri na wanalijua hilo.
 
Tulia kamanda pata supu,chai,uji ama chochote kile kwa utulivu kabisa.....jf ipo kwa ajili yako....
Nimeshatoka Ibadani kumshukuru Mungu kwa kutupa CDM chama kisichocheka na Nyani...Asante Mungu Muumba wa Mbingu na Dunia kwa kutuletea Chadema. Sasa nasubiri kusikia yatakayojiri kwenye press conference
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom