Tena atakuwa mmakonde chale wa msumbiji kaja kutafuta kazi TzNdugu yangu Chinga One ametokomea kupanga meza unajua ndugu yangu yupo kiukereketwa zaidi maana decision makers wote ni toka Kaskazini! Mmakonde na chadema wapi na wapi?
Lazima atakuwa mbeba Viti
Niko hapa Airport mwanza nasubiri kubod naamini nitawahi hcho kikao pia nihudhurie kesi hyo kesho.
Wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
amekuuliza nani kama upo wapi?
Ndio tatizo la wachaga wanaamini wao ndio kila kituUbinafsi! Usomi upi?
Tulia kamanda pata supu,chai,uji ama chochote kile kwa utulivu kabisa.....jf ipo kwa ajili yako....
likavenga ha ha ha
kitambo sana kaka.....mi wa masasi mkuu,born and raise in mtwara
municipal...
mtei amechukia sana zito kuweka pingamizi.zito akishinda kesi lisu anatimuliwa chamani
Hapa watu wako kwa mipasho tu na kupunzikiana wengine wanashindwa kuficha hisia zao zilizojaa chuki na wivu .....majungu full.
Tunakushukuru Mungu kwa baraka zako tele CHADEMA
Tunakushukuru Mungu kwa baraka zako tele CHADEMA
chadema kishakufa , inatia huruma
kinatapatapa