Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,124
likavenga ha ha ha kitambo sana kaka.....mi wa masasi mkuu,born and raise in mtwara municipal...
Na unaishi mjini kwa ajira ya mtaa Ufipa
likavenga ha ha ha kitambo sana kaka.....mi wa masasi mkuu,born and raise in mtwara municipal...
chadema kishakufa , inatia huruma
kinatapatapa
tv watatusha live....
gongo na viroba pia vimeandaliwa??
Kitila kafukuzwa chadema na kule anakofundisha nako kavuliwa ukuu wa idara...hahaaa pole mwalimu wangu
Habari njema hapa Iramba kwa kuwa wanazi wengi wamehuzunishwa sana! Kweli ya Kaisari mwachie Kaisari...,
Ndio basi CDM Iramba lol..... Mkuu Mpumaminyongo utakuwa umelazwa sasa hapo Kinampanda pole kwa msiba mkubwa! Najua ulifanya kazi kubwa na Kitila sasa pole sana!
Hao ndio CDM....... Kesho watakufukuza wewe!
gongo na viroba pia vimeandaliwa??
wakuu tunawaletea habari za moja kwa moja kutoka makao makuu chadema mkutano na waandishi wa habari, maandalizi yanaendelea hapa ukumbini makanda wanaeendelea kujongea.....stay tuned....
Gongo watapewa kesho asubuhi ili wakafanye fujo mahakamani
Yaani kuna kundi kubwa la vijana wa CDM hapa Kiomboi wamechanyikiwa kabisa wamekosa Raha kabisa na waliowengi walijitoa kwa Mkumbo kwa 100%.
Gongo watapewa kesho asubuhi ili wakafanye fujo mahakamani
Marando thlimstukia siku nyingi plan yake imechemshaya kuua upinzani. Niliongea na Dr. Lamwai akakiri kuwa. magamba yanatumia chombo cha usalama kuua upinzani maadamu. cdm wamesha msutukia marando wako safeDr mkumbo na mwigamba wamenyang'anywa uanachama na marando amerudisha kadi
Wanyiramba wengi wanazi wa CDM wapo hoi bini taabani kwani kazi Yao yote juu ya Kitila ni sifuri! Wamechanganyikiwa kabisa hawa ndugu zangu! Pole sana ndio siasa hizo.
Najua Leo kwa Dr Kitila kesho kwenu pole sana!
Dr mkumbo na mwigamba wamenyang'anywa uanachama na marando amerudisha kadi
Naona kwa sasa mmeishiwa kabisa mapozi,
Heheee ngebe zote kwishaaa!
Hii ya Mabere hata mimi siwezi amini maana huyu jamaa ni mwanamageuzi hata kabla hayajawa rasmi hapa TZ. Hawezi kukubaluana na ujinga wa kina Zitto tamaa
Niko hapa Airport mwanza nasubiri kubod naamini nitawahi hcho kikao pia nihudhurie kesi hyo kesho.
Duh. Bado niko kanisani, ndiyo kwanza padri anajiandaa kusoma injili.
Hatufanyi kazi ya Kitila Iramba tunafanya kazi ya Chadema! Wapo wasomi wengi tu waliotia nia Iramba Magharibi kugombea kupitia Chadema.