mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,260
Hapo kwenye muda mkuu ndio palinitatiza si unajua sisi huku Kilindi saa hizi inakaribia kabisa saa 4 asubuhi nikajua nimeshapitwaa...! Ahsanteni kwa taarifa ila msisahau muda huo ukifika mumwambie Yericko awahi kama alivyowahi Mahakamani
Alimikosha, aliposema zitto leo kavalia sanda!
ni vituo gan vya tv vitarusha live?
Acha wivu wa kike
Kumbe una uwezo kusoma The Citizen?
Mkuu naona kisu kimeingia kunako mfupa..
amekuuliza nani kama upo wapi?
Juzi alinichekesha kweli ndio nikajua wasomi wetu wengi hawana tofauti kubwa na yule msomi wa Orijino Komedi "Le Profeseri" wamekaa kitahira tahira wanpelekeshwa tu eti anataja nyuzi joto alipokuwa mahakamani sasa sijui ilikuwa inahusu nini pale?
ni vituo gan vya tv vitarusha live?
Mkuu tz kwa sasa ilipofika inahitaji chama kama CDM . . . . . . . . hata USA na ulaya yote wanakimezea mate wakitamani kiwe cha mataifa yao maana wanajua fika kuwa hata wao wamefika hapo walipo kutokana na think tank kama ya CDM!!
Zitto bye bye!
Sometimes huwa siwaelewi blacks wenzangu kabisa! Yaani wewe badala ya kukubali kuwa Ben Saanane ni zaidi ya mashine na mitambo ya NASA wewe unaanza kuponda kwa kutoa data za kusadikika ...Huo mshahara wa elfu thelathini unao msingizia unaweza kununua kifurushi cha kiasi gani? Unafikiri ni kwanini Zitto alikuwa anamatumaini kwa Ben kuliko wale wachumia tumbo wengine? Kwa taarifa yako Ben ni bingwa wa kakati ni si mvivu wa kusoma na kujiendeleza kama akina Shonza wenye kuamini viungo vyao zaidi!... Mpe Ben Heshima yake anayostahili hata kama humpendi! Haya yanayotokea leo ni utaalam na ujuzi wa Ben wa kuweza kuwatoa virus wote kwa utaalam wa hali ya juu... Edo Snowden alichukizwa na mfumo...Ben amechukizwa na CCM inayouza madini yetu yote kwa wageni, amechukizwa na CCM kwa kushindwa kuwapatia maendeleo yanayolingana na utajiri wetu...Tuko wengi tulioandaliwa vizuri chini ya Mwl na sasa CCM mtaipata fresh...Ila mkuu Ben Saanane ni mysterious creature kwa sababu alienda india kufnya masters kalipiwa na serikali (scholorship maalumu hii) amerudi hajulikani anaishi wapi, anafanya nini, ila nasikia anajenga lijumba imefika kwene lenter, anatembelea luxury car, muda wotekashinda facebook, twiira, targid, bbm, watsap, JF, linkeding, hi5 na kwenye blogs. Bora @yericko analima matikiti maji, na ana kampuni ya ujenzi... Huyu ben saanane anawezekana akaw ni kama Ned Lude wa kwenye Luddism movement.
Hii hapa...teh teh zzk bana
Yap! Ninao. Unapatikana kwenye gazeti gani ili nikufuatilie? Nakusikia tu hapa JamiiForums nje ya hapa sijawahi kukusikia popote.
Yaani mimi nitishike kwa siasa nyepesi?By the way leo namaliza adhabu yangu ya mwaka 1 ya kusimamishwa kugombea cheo chochote.What a Coincidence?
Mkuu naona kisu kimeingia kunako mfupa..
Mkuu super spot 3
Mkuu press itakuwa live hapa JF, na chadema tv.
Ni kwa sababu unasoma magazeti ya udaku tu na huna uwezo pengine wa kusoma articles
Nimemuuliza uyo ----- anaewaponda wachagga wakati kutaja kabila lake anaona soo...Sasa wewe uzao wa watumwa walioshindikana kuuzwa hata kwa dinar moja unauhalali gani wa kuwanyooshea kidole hao wachagga wenyekujulikana dunia nzima kama Jews wa Africa?