Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,967
- 10,460
It makes me sick....I can't wait for this BS to be over with....
I can imagine how u feel sir! It's all got to do with politics.
Long live Nyani McCain.
It makes me sick....I can't wait for this BS to be over with....
Lakini huyu kaka yake Michele hajatulia kabisa.hana mapozi ya ki-ikulu ikulu
Obama wrote his own speech. So Nyani was unmoved? I am not surprised.Jon Favreau,is Obamas speech writer
...JK atakwenda? mimi najiandaa to 'call-a-sickie!', Cant wait to glue my eyes kwenye luninga, watching history unfolding!
mlioko bongo jiandaeni siku hiyo kukatika umeme, either kwa mgao au hitilafu tu za mitambo....,
Obama wrote his own speech. So Nyani was unmoved? I am not surprised.
Kuna tofauti kubwa kati ya speech anazoandika Obantu na zile zinazoandikwa na Axelrod....and you saw the difference on Tuesday! No one fainted....Lol....unless you did...hehehehehe
Lakini mwandishi wa hotuba wa Pres. Obama sio Axelrod bali ni Jon Favreu[spelling].
Rush Limbaugh sometimes uwa anafikiria kweli? "I hope he fails" hajui kuwa Obama akifail ni nchi nzima inafail, ama kweli sio Tanzania tu ambako watu wanaweka chama mbele badala ya nchi.