President Kikwete Heading to Italy

President Kikwete Heading to Italy

Ukiona hivyo ujue huko kuna MWALI ANATOKA hivyo TIMU YAKE YA MDUNDIKO inaelekea Italy KUMTOA MWALI. Ila acheze salama NYUZI ZISIJEFUMKA ikawa balaa...

Nasikia mwali hatoki ni siku ya Mkoleni, wanaume hawaruhusiwi.Au unataka kusema atazamia hivyo hivyo kwa kujifunga Ushungi ?... Ni utani tu!
 
Jamaa anaweza kuwa na flying hours nyingi kuliko Captain Mazula rubani mzoefu hapa nchini. Mwenye kujua log book yake inasoma nini atushtue hapa.
 
Daah marejesho.. Comment yako imebeba hasira.. maumivu na resignation.. Inauma sana kuangalia genge la majambazi wachache wakibomoa rasilimali ya miaka hamsini ijayo..

Kwa kweli niko na hasira ila ndio hivyo tena. ....

Hizo fedha walizotafuna wajanja ni nyingi mno. ....
 
Last edited by a moderator:
Professor Haumwi lolote anazuga tu Escrow ipite ale bata hospital then hotel in I.
As I know Mtoto wa kiswahili always hayuko serious
 
Mama fisadi anahalalisha malipo yake ya karibu bilioni 2, anao ushahidi dhidi ya Zitto au ndio anabwabaja tu? Asije akayakana maneno yake, "Kuna mtu aliiba pw mimi siye niliyeandika yale kule FB"

Jamani Profesori kahamaki. Cc; BAK tpaul CHAMVIGA lusungo na wengineo
 
Mpwa Elli, Mama fisadi anahalalisha malipo yake ya karibu bilioni 2, anao ushahidi dhidi ya Zitto au ndio anabwabaja tu? Asije akayakana maneno yake, "Kuna mtu aliiba pw mimi siye niliyeandika yale kule FB"

Jamani Profesori kahamaki. Cc; BAK tpaul CHAMVIGA lusungo na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anaweza kuwa na flying hours nyingi kuliko Captain Mazula rubani mzoefu hapa nchini. Mwenye kujua log book yake inasoma nini atushtue hapa.

Ha ha ha ha..

Umenifurahisha mnoo. .

Preta umenionea wapi log book ya mshua?
 
Last edited by a moderator:
Italy ? Aaaaaah anaenda kuchoma huyo akirudi hapa ni mbogo aliejeruhiwa ? Asije akaenda Afghanistani tu ?
 
Siku zote mtu unapofanya jambo liwe zuri au baya ni muhimu sana kujua mitazamo ya watu juu ya unayofanya ili kujipima kama upo sahihi au la. Ukiona watu wengi wanakuongelea visivyo lazima ujipime na hili ni kwa watu wastaarabu, walio elimika, wacha Mungu. Viongozi wetu siwatofautishi na wahuni? Sema tu mavazi, magari na ofisi zinawafanya waheshimike lakini kwa anaye elewa hawa ni wahuni, waswahili na wasio na hofu na Mungu hata. Rais wetu kuna uwezekano maisha yake ya miaka 40 au 50 ni sifuri. Sababu wanasema mtu wa miaka 20 akiwa na fikra na kufanya mambo kama mtu wa miaka 10 basi miaka 10 aliyoishi duniani haikuwa na maana yeyote
 
Are we key players or are we just spectators in the gas saga. Isn't this the same guy who said we should sell orange juice while we let the big players dish out out gas?
Professor of rocks very forgetful.
 
Naungana na kauli ya Dr.JK"huu ni upepo,utapita tu..."kiukweli jamaa haogopi hali ya hewa ilivyochufuka pale mjengoni.
 
Natamani wajisahau wavuke anga la Ukraine wapitie katika eneo la wale Waasi!Kitakachofuatia ni shangwe,nderemo na vifijo hapa Tanzania kama tumeshinda kombe la dunia vile.
 
Anastaajabisha sana huyu jamaa, nchi iko katika sakata la wizi mkubwa, hazina hakuna pesa, mahospitalini hakuna madawa, badala ya kurudi kwanza nchini kushughulikia haya anachanja mbuga kuelekea Italy!! Rais kweli hatuna!!

baba wa taifa ml nyerere aliona mbali sasa ndio imedhiirika kuwa kikwete si kiongozi bora.
 
Back
Top Bottom