President Kikwete Heading to Italy

President Kikwete Heading to Italy

Angekuwa raisi makini,kuugua kwake ilikuwa ni "excuse" tosha ya yeye kutokwenda na badala yake angewakilishwa na makamu wake alafu yeye angerudi nyumbani ku-attend tatizo hili kubwa la ufisadi wa Escrow.

Maadamu maliasili tunayo,watakuja tu wenyewe hata pasipo yeye kuhudhuria.

JK, kumbuka nyumbani hali si shwari na wewe ndio baba hivyo achana na ushamba huo wa kuzunguka bila kutafakari.

mweee unadhan anakusikia???(in luguru voice)
 
Jk keshapagawa! Sijui Nn kitatokea ila ni ajabu rais kuwa nje ya nchi wakati kama huu. Labda ningeambiwa anakwenda tafuta dawa za mahospitalin ila sijui. Tuliombee taifa.
 
TUazisheni kitabu cha WORLD AMAZING LEADER"S tanzania tunaoa kibao..
 
Anastaajabisha sana huyu jamaa, nchi iko katika sakata la wizi mkubwa, hazina hakuna pesa, mahospitalini hakuna madawa, badala ya kurudi kwanza nchini kushughulikia haya anachanja mbuga kuelekea Italy!! Rais kweli hatuna!!

Duh. ..

Badala ya kuja home kuangalia wananchi wake wanavyopambana na Escrow anaenda Italy. .

Basi Sawa. ...
 
Duh. ..

Badala ya kuja home kuangalia wananchi wake wanavyopambana na Escrow anaenda Italy. .

Basi Sawa. ...

Daah marejesho.. Comment yako imebeba hasira.. maumivu na resignation.. Inauma sana kuangalia genge la majambazi wachache wakibomoa rasilimali ya miaka hamsini ijayo..
 
Last edited by a moderator:
ndio mwisho wake wa kufikiri,ukiwa mhanga wa PR(an examination for BPH) daima utapenda ufanyiwe tena,so kaifwata Italy
 
Anastaajabisha sana huyu jamaa, nchi iko katika sakata la wizi mkubwa, hazina hakuna pesa, mahospitalini hakuna madawa, badala ya kurudi kwanza nchini kushughulikia haya anachanja mbuga kuelekea Italy!! Rais kweli hatuna!!

Yeye mwenyewe ni mhusika atakerwa vipi?
 
Watanzania tumuombee JK maana tunaweza mlaumu bure kumbe yeyemweye hajielewi.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hivi haya ni kweli? Na Prof. anasema je? Hata waliomwalika watakapomwona sio tu watamshangaa bali wataishangaa Tanzania.
 
Duuu hi Kali lkn si yuko na doctor wake wa kithungu kuna ubaya gani na amempa zawadi ya mt Kilimanjaro
 

Attachments

  • 1416853229794.jpg
    1416853229794.jpg
    82.5 KB · Views: 417
Back
Top Bottom