Kutokana na kuruhusu wizi wa Escrow, sina imani kabisa na Kikwete na Muhongo. Hawa ni sehemu ya wezi wakubwa.
Ndg haya ndio majambazi namba moja,ni heri ht wale wazee wa kazi kuliko haya.
Kutokana na kuruhusu wizi wa Escrow, sina imani kabisa na Kikwete na Muhongo. Hawa ni sehemu ya wezi wakubwa.
Professor Haumwi lolote anazuga tu Escrow ipite ale bata hospital then hotel in I.
As I know Mtoto wa kiswahili always hayuko serious
jamani achene kumdhihaki rais wetu na kipenzi cha Watanzania.
Rais wa Kusafiri ameamua kwenda hivyo hivyo na busha lake ili mradi overtime imeingia. Huyu hawezi kuacha safari hata kama yupo mahututi. Vasco Da Gama mwenyewe anasubiria kwa huyu Professor feki wa kichina.
Inachekesha sana.Hiyo gas inasaidia nini wakati hospitali hazina dawa,watoto shuleni hawana madawati,akina mama wanakufa kwa kukosa huduma na hawana vifaa vya kujifungulia,wazee wanakosa huduma muafaka nk.nk.
Rais wa Kusafiri ameamua kwenda hivyo hivyo na busha lake ili mradi overtime imeingia. Huyu hawezi kuacha safari hata kama yupo mahututi. Vasco Da Gama mwenyewe anasubiria kwa huyu Professor feki wa kichina.
Jamaa anaweza kuwa na flying hours nyingi kuliko Captain Mazula rubani mzoefu hapa nchini. Mwenye kujua log book yake inasoma nini atushtue hapa.
Vasco da Gama wa karne hii, tembea tembea mzee upate kuona aibu zako kwenye kioo
jamani achene kumdhihaki rais wetu na kipenzi cha Watanzania.
Hii nimeipenda...Vasco Da Gama, jina jipya la JK going forward!
Mumeishiwa kifikra hamta ona lolote la heri kwa nci yetu
kiguu na njia! hajui ku-deligate power! urais ni taasisi!
When exactly is this GE Meeting?