President Kikwete Heading to Italy

President Kikwete Heading to Italy

takwimu za safari zake zilizomo jf mpaka mwaka jana zilikuwa zinaonyesha kwamba mtu pekee aliye juu yake kwa safari alikuwa hillary clinton ( ambaye analindwa na sera za US ZINAZOMTAKA WAZIRI WA MAMBO YA NJE AWEPO KILA PENYE MASILAHI YA NCHI YAKE ) , SINA UHAKIKA KWA MWAKA HUU NANI YUKO JUU , MAANA CLINTON KISHASTAAFU .

Labda John Kerry na waziri wa mambo ya nje wa urusi.
 
Meeting ni February 2015, Prezidaa bado anaugua kwa obama na Jmosi anarudi bongo.
 
nyinyi mazezeta kama lugha haipandi msichangie. na kama pia haujasoma mada husika usichangie. maana mnaonekana wapumbavu tu. Escrow inajadiliwa kesho na keshokutwa mkutano we general electric unafanyika february 2-3, 2015. halafu nyie wangese bila hata ya kusoma mnaleta uharo wenu hata. wapumbavu kabisa. jifunzeni kama hujui content usichangie. jipitie kimya kimya. mafa'la nyie.

Kwani ameshapona tezi dume?

Duh. ..

Badala ya kuja home kuangalia wananchi wake wanavyopambana na Escrow anaenda Italy. .

Basi Sawa. ...

Rais wa Kusafiri ameamua kwenda hivyo hivyo na busha lake ili mradi overtime imeingia. Huyu hawezi kuacha safari hata kama yupo mahututi. Vasco Da Gama mwenyewe anasubiria kwa huyu Professor feki wa kichina.

Ameshapoana busha na sasa yupo kazini kuiuza nchi, amemaliza madini sasa amehamia kwenye gesi na oil

Angekuwa raisi makini,kuugua kwake ilikuwa ni "excuse" tosha ya yeye kutokwenda na badala yake angewakilishwa na makamu wake alafu yeye angerudi nyumbani ku-attend tatizo hili kubwa la ufisadi wa Escrow.

Maadamu maliasili tunayo,watakuja tu wenyewe hata pasipo yeye kuhudhuria.

JK, kumbuka nyumbani hali si shwari na wewe ndio baba hivyo achana na ushamba huo wa kuzunguka bila kutafakari.
 
Anajua kila kitu, awahi nini huku. anaagiza makanjanja wajibu hoja.
 
nyinyi mazezeta kama lugha haipandi msichangie. na kama pia haujasoma mada husika usichangie. maana mnaonekana wapumbavu tu. Escrow inajadiliwa kesho na keshokutwa mkutano we general electric unafanyika february 2-3, 2015. halafu nyie wangese bila hata ya kusoma mnaleta uharo wenu hata. wapumbavu kabisa. jifunzeni kama hujui content usichangie. jipitie kimya kimya. mafa'la nyie.

Niliona hata kinyaa kusoma kwa kirefu hiyo habari baada ya kuona hiyo heading tu.Huyu raisi ni kero hata kama anakwenda mwakani bado anaboa tu.

Ni upuuzi mikataba ya gas kuwa siri hata kwa wabunge.

Mi nikiri tu huu uzi ulinipa kichefuche niliposoma heading tu na si kuwa hata na hamu ya kuendelea kujichefua kusoma thread nzima.
 
Je, Raisi anajua kinachoendelea hapa nyumbani? Raisi makini angerudi nyumbani kujaribu kufumbua matatizo haya lakini anafanya kinyume kabisa. Mimi sitaki kuhukumu lakini ukweli aliusema yule Mbunge wa jimbo la Ubungo :confused2:

Tanzania gets invite for oil talks

MWANZA, Tanzania:Tanzania’s gas discovery and oil exploration is placing the country as one of the key players in global industry.

The February 2-3, 2015 General Electric (GE) Oil and Gas meeting to be held in Florence, Italy, would see the Tanzanian President Jakaya Kikwete giving a keynote address.

According to the Minister for Energy and Minerals, Prof Sospeter Muhongo, the decision to select President Kikwete to give a keynote address in a meeting to be attended by more than 1,000 delegates is a pride to the country.

This, Prof Muhongo said, “is an appreciation that Tanzania is an incoming major player in oil and gas economy.”

“Participation of Tanzania in GE General Meeting and assigning it a key role is a testimony that we have built trust and respect internationally,” said Prof Muhongo.

Mid last October, 2014 Prof Muhongo was in Italy and one of the area in the new envisaged economic partnership between Tanzania and Italy will see Italy reviving Tiper Refinery in Dar es Salaam and expand the oil storage.

Prof Muhongo attended the Ministerial Conference, “Italy-Africa, Working Together for a Sustainable Energy Future”, from 13-14 October, 2014.

The GE meeting is an opportunity for delegates to join more than 1,000 industry leaders worldwide to share their vision of the macro trends impacting the oil and gas sector and the future of GE’s evolving technology-intensive industry.

Entitled, “Fueling the Future, Bringing Energy to the World,” the February, 2015 event will look into a broad range of industry perspectives– oil and gas companies, policymakers and analysts in addition to executives from GE Oil & Gas.

The agenda will also offer time for more in-depth discussions and displays of oil and gas technology.

Tanzania is a growing market with on-going exciting discoveries, including 19 exploration blocks and a $10-20 billion investment projected for exploration and production in the coming decade.

Over the past two years, exploration activities in Tanzania’s deep offshore waters have led to the discovery of 45 trillion cubic feet (tcf) of natural gas.

More discoveries are likely to come as drilling campaigns continue to unfold. As of now at least 19 oil and gas exploring companies are working in Tanzania.

It is estimated that the recoverable reserves will more than double to 100 tcf by the year 2015.

Source: busiweek
 
Hivi kibusha kimepona, maana wanakipa jina zuri la tezi dume , kumbe kishipa!!!!! Haya ngoja aende akaongeee pumba huko
 
Sasa yeye anamaliza mhula wake wa uongozi, na wengine watajengeka uwezo vipi?
 
Kuna kitu sijaelewa hapa...mid October Muhongo alikuwa italy kwenye mkutano, na huko purofwesa atakapotoa keynote ni February 2015. Sasa hivi ni end of November 2014, kanafwata nini huko!!???
 
Anachosema prof ni ukweli mtupu.iweje wote walipwe na mtu mmoja then mmoja iwe sawa na mwengine iwe tatizo?

Hatimaye wote sasa watakwenda na MAJI! Hapo vipi?
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    8.9 KB · Views: 69
Back
Top Bottom