President George Bush to visit Ethiopia, Tanzania and Zambia

Wadau, angalieni tbc kwa wenye access ya tv, kuna live broadcast ya mkurlu wa kaya na Bush wa united states ov america...hopful wataongelea uranium yetu inayochimbwa bila kibali cha watanzania..

If that is live will be about HIV AIDS, Soon Obama, Clinton and Bush will be live discussing this killer virus. Unless uniambie kuwa TBC siyo live ni recorded. Sunjay Gupta is talking about JK
 
jk anatoa speech,...anatambua uwepo wa bush na mkewe, anatambua mchango wa bush katika amana hospital...anasoma history backgrouna...'hiv was spread like BUSH FIRE..'
 
mbona wameweka cd halafu watu wengine wanaongea welcome to america? mi siwaelewi aghh..
 
Bila shaka Bush atapitia mbuga ya Selous kwa kisingizio cha kutalii wanyama, kumbe uranium ya Namtumbo ndo inaondoka hivyo!
 
leo wagonjwa wote waliokosa vitanda pale ocean load wameondolewa, kisa bush asiwaone wanalala chini teh teh bongo bana!!!
 
jk:maambukizi yamepungua,unyanyapaa umepungua, watu wengi wanatumia vidonge a.k.a arv
 
Sasa hivi jk na bush wapo live ktk tbc 1 tv,bush anamnongoneza kikwete mhh kazi ipo,nchi imeuzwa hii.
 
'Tanzania is the front line of the battle against AIDS' - Bush, kama angejua kuwa vingozi wetu wengi ni wagonjwa asingesema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom