wakuu!!
leo rais mstaafu wa marekani anawasili Tanzania. lakini cha kushangaza ziara hii imekuwa ni siri mno hakuna chombo cha habari hata kimoja kilicho tangaza hii ziara ya huyu muheshimiwa.
mimi ni mwanafunzi wa Muhimbili kwa sasa niko ocean road kwa clinical studies na inasemekana atakuja kutembelea leo hospitali ya ocean road.
kinacho nisikitisha ni kwamba hapa ocean road wagonjwa huwa wanalala nje kutokana na ukosefu wa vitanda na maanisha hata wodi hazitoshi. leo hakuna mgonjwa nje sasa sielewi wagonjwa wamepelekwa wapi. nachoona leo ni bendera za Tanzania tu na mauwa ndo yameshamiri huku ocean road.
je nini kilichomleta huyu rais mstaafu wa usa? au anekuja kuangalua maedeleo ya freemasons na ile miradi yake ya kigamboni?
naomba niwasilishe mwenye kujua zaidi kuhusu ziara ya siri ya huyu mueshimiwa atujuze.
Migodi ya dhahabuMkuu huyu jamaa ana miradi gani kanda ya Ziwa?
Mtakoma kupenda vya bure. Mpaka chandarua iwe kwa hisani ya watu wa marekani?
Uhusiano wa bush & kikwete ni zaidi ya uujuavyo!
One day yote tutayajua, kama tunavyojua sauv kuwa Richmond ilikuwa ya JK mwenyewe, JK is a joker.
Mtakoma kupenda vya bure. Mpaka chandarua iwe kwa hisani ya watu wa marekani?[/QUOTE]
Usishangae siku chache zijazo tukianza kusikia MTOTO HUYU KAZALIWA KWA HISANI YA WATU WA AMERIKA!!!!
Tunakoelekea pabaya maana sasa hata vyoo unakuta kuna label;CHOO HIKI KIMEJENGWA KWA MSAADA WA WATU WA AMERIKA...Jamani, hata misalani??? Wacha tuu Kameruni atutamani masabari yetu!!!
wakuu!!
leo rais mstaafu wa marekani anawasili Tanzania. lakini cha kushangaza ziara hii imekuwa ni siri mno hakuna chombo cha habari hata kimoja kilicho tangaza hii ziara ya huyu muheshimiwa.
mimi ni mwanafunzi wa Muhimbili kwa sasa niko ocean road kwa clinical studies na inasemekana atakuja kutembelea leo hospitali ya ocean road.
kinacho nisikitisha ni kwamba hapa ocean road wagonjwa huwa wanalala nje kutokana na ukosefu wa vitanda na maanisha hata wodi hazitoshi. leo hakuna mgonjwa nje sasa sielewi wagonjwa wamepelekwa wapi. nachoona leo ni bendera za Tanzania tu na mauwa ndo yameshamiri huku ocean road.
je nini kilichomleta huyu rais mstaafu wa usa? au anekuja kuangalua maedeleo ya freemasons na ile miradi yake ya kigamboni?
naomba niwasilishe mwenye kujua zaidi kuhusu ziara ya siri ya huyu mueshimiwa atujuze.
nazani amekuja kupunguza ugwadu kwa j.k, nahis kidum kimejaa .
Unajua vile vyandaua vilitengenezwa kwa standard za europe,si unajua wale mbu wa kule wana afya?sasa wa kwetu huku vimbaumbau, wanapenya tu kwenye yale matundu.Ila uzuri wa vile vyandarua ,vinavua dagaa halafu havichoki!