Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,116
- 8,620
Mkuu kwani kuna tofauti gani wafanyakazi wa serikali na Private kwenye iyo mada yako??Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila wafanyazi ni kukuru kakara. He/she wake up early in the morning doing the same thing from January to December. Mungu awasaidie sana.
Bora private waweza vunja mkatabaMkuu kwani kuna tofauti gani wafanyakazi wa serikali na Private kwenye iyo mada yako??
Anaitamani sana ajira serikalini ila ndio hivyo sitaki mbichi hizi.Mkuu kwani kuna tofauti gani wafanyakazi wa serikali na Private kwenye iyo mada yako??
Pombe ni kiashiria cha kwamba huna stressKwa hiyo ww mtu kula tungi kila siku ndio climax ya maisha Bora. Uhalisia mtu mla tungi daily ni ana uraibu au stress za maisha.