Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Rais Magufuli kila mara amesema ni afadhali kwa kiongozi kufanya maamuzi na kukosea kwa sababu makosa yatarekebishwa huko mbeleni kuliko kutokufanya maamuzi kabisa.
Rais alienda mbele zaidi na kuwaambia Wakuu wa Mikoa watumie mpaka madaraka yao ya kisheria ambayo yanawapa uwezo wa kumuweka ndani mtu yoyote.
Yeye aliuza nyumba za Serikali akasema kwenye Cabinet aliuza kwa Civil Servants, ni kweli? Hakuna hewa iliyouziwa nyumba ya serikali? Angedhalilishwa hivi angekuwa Rais Leo? Tu-deal na mfumo tusideal na individual. Rais anatengeneza picha kuwa aki-assign kazi anapredict results na atataka result iwe anavyotaka, atapewa tu ripoti za kumfurahisha. Anne angepika ripoti kuwa anao hewa 20 asingefukuzwa. Kwakuwa ni ripoti inayomfurahisha bosi.Kusema una ghost workers zero ndio maamuzi magumu sio, we hovyo kabisa, Magu (Hon.) mbele kwa mbele, tulipokuwa tumefikia tunahitaji kasi yako
Chadema tunasema tunafumua mfumo mzima ulioruhusu hewa kuzaliwa. Kwani wakati huo hao hewa wanatengenezwa, Mkoa haukuwa na RC? RC si alikuwepo and yet hewa wakawepo? Mbona wao walimteua Mganda kuwa Mkuu NSSF? Jamani....mtu ana malaria 1 unampa Quinine?? Sio fair kabisa!