Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi awamu ya sita na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.
HAKUNA SHIDA MAPANDIKIZI YA KUBWA LA MAADUI YATAKIMBIA YENYEWE! HAYA NDIO MABADILIKO TUNAYOYATAKA SIO YA KUFYATUA MIKONO..... ''UMKONDO USIZWE''
 
We ni zaidi ya mpumbavu nyoko wewe.
Wangeyafanya haya Ukawa nadhani ungefanya sherehe kilaza mkubwa wewe!!
Go @Magufuli go, ulipo tupo!!
Kwa kweli, watu tumetofautiana sana; sasa wewe ndugu, kulikuwa na haja gani ya kutoa maneno machafu kiasi hicho eti kwa sababu tu umetofautiana kimawazo na mleta hoja?! Ndugu, nafikiri ilikuwa ni vyema uandike mawazo yako kueleza kwanini unafikiri mawazo ya mleta hoja hayana mashiko.
 
Sijui taratibu za serikari mtu akishateuliwa na raisi anaandaliwa mkataba gani wa kazi huko mbeleni kwenye kulinda haki zake.

Regardless kama tunataka kulipa hili swala zima moral justification moja ya matakwa ya raisi yalikuwa wakuu wa mikoa watufue wafanyakazi hewa na hilo limetamkwa mbele ya dunia; in other words hilo tamko ni kama terms za ajira ya kazi (kisheria mkataba unaweza kuwa oral agreement sio lazima maandishi) not that the president needs to prepare any before he hires or fires people. The mere fact his selection is based on presidential long customs since independence no court in the world would rule against unfair dismissal even if the interpretation of the law was forced anywhere on 'god's earth' given the facts of the matter.

Kushindwa kubaini wafanyakazi hewa halafu wenzako waje wawakute sehemu ambazo wewe ndio unamlaka that is enough of a breach even if the RC had a contract; those findings alone offers a good reason to justify 'fair dismissal' based on the capability to perform.

Raisi anahitaji bado kuweka nidhamu na aina ya uongozi wake na moja wapo people need to take accountability kwa nafasi zao. Wewe umepewa task umesema hakuna kitu, yeye katoa maagizo ya uchunguzi independent kakuta wafanyakazi hewa ina mwacha na option ipi tena? yaani kumuacha Ana Kilango ingekuwa ni kama kusema yeye mwenyewe raisi hayuko serious this was a necessary dismissal ili wengine waelewe kama viongozi wana 'strict liability' ni jukumu lao kuhakikisha maagizo yanafanyiwa kazi kitaalamu sio kimazoea.
 
Kwa kweli, watu tumetofautiana sana; sasa wewe ndugu, kulikuwa na haja gani ya kutoa maneno machafu kiasi hicho eti kwa sababu tu umetofautiana kimawazo na mleta hoja?! Ndugu, nafikiri ilikuwa ni vyema uandike mawazo yako kueleza kwanini unafikiri mawazo ya mleta hoja hayana mashiko.
Haya wewe mwandikie mtoa Mada kwa maneno yako lain lain na ya kumfariji
 
busara na hekima ni jambo la msingi sana rekebishaneni kwa kauli nzur pale pahala hapako sawa kwa manufaa ya nchi si mbaya wote mkawa na wazo tofaut.
 
Eeeeeh! Huu mkong'oto heavy sana. Hivi niliustahili mkuu?
 
Kwa hisia hizi hizi ulizokuwa nazo kwenye jibu hili lakini sasa vaa kofia yako ya ki-diplomasia, ungeliandikaje hili jibu lako?
 
Ushauri mzuri..kuna siku atafanya kazi peke yake ..ukiangalia pale leo akuwahutubia baadhi ya wakuu utawaona wamejikunyata kwa woga na kutopendezwa na yalio amuliwa..
diplomacy ni muhimu na katika kazi yoyote kuna kusahihishana.

hii nadharia yake ikitumiwa huku uraiani jee mnao sapoti haya mtaridhia kutumbuliwa kwa uzembe ? au mtakwenda mahakama ya kazi ?
 
Leo kazi unayo ulieandika haya maandishi, watu wamechoka na sound na ubabaishaji we unaleta demokrasia!? Demokrasia hukooo ulaya hapa kwa Wamatumbi ni kazi tu....

Kaza roho, hapa kazi tu mkuu!

Mimi wala simtetei mama Kilango. Wakati anateuliwa kuwa mkuu wa mkoa wengi wetu waliguna.

Ninachozungumzia hapa ni kuwa rais alimteua huyu mama juzi tu (ina maana alimchunguza na kujiridhisha anaweza kuwa) mkuu wa mkoa. Kilango akiteleza siku inayofuatia, kuna njia nyingi za kumshughulikia mtu kama huyu.

Yes, kumfukuza kazi ni moja wapo.

Lakini hii inatuambia nini kuhusu wewe (rais) uliemteua huyu mama juzi tu?
 
You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi awamu ya sita na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.

Its shock therapy time! muda wa kuchekacheka na kima na matezi dume yaliyotufikisha hapa umepitwa na wakati; JPM mbele kwa mbele! kwa wezi, wala rushwa, mafisadi na majangili; its payback time; the goose has come home to roost!
 
kama kubebwa wamabebwa sana kama kusamehewa wamesamehe sana kipindi cha Mh Jakaya Kikwete lakini hajabadilika, Hawa watu bila kutowa mifano hatutafika.
 
Its shock therapy time! muda wa kuchekacheka na kima na matezi dume yaliyotufikisha hapa umepitwa na wakati; JPM mbele kwa mbele! kwa wezi, wala rushwa, mafisadi na majangili; its payback time; the goose has come home to roost!

Lakini Rais si alimteua huyu mama juzi tu. Simtetei Kilango bali ninachelea wateule wengine wa Magufuli kuongoza kwa woga.

Unaweza kuteuliwa leo mchana, kesho ukiamka (kabla ya chai) unasikia (kwenye taarifa za habari kuwa) umefutwa kazi.

Ehe - hapa kazi tu!!
 
Eti anawatisha watashidwa kufanya kazi watafanya kazi kwa hofu na uonga. sasa mbona kipindi cha Mh Jakaya kikwete aliwapamba na kuwabembeleza mbona hatukuona tija sana sana waliturudisha nyuma nakutufanya masikini. Binadamu bila kumukazia nakumpa azabu kali mambo hayawezi kwenda.
 
Kaka hujamuelewa mtoa mada, jaribu kumsoma kwa umakini utamuelewa tu

Issue iko hivi, kama huyo mama alikosea nadhani kwa kupewa taarifa zisizo sahihi na yeye akaziwakilisha kama alivyopewa basi lilikuwa jukumu la Rais kumwambia umedanganywa kwa sababu yeye ana taarifa anazoziamini zaidi ya za huyo mama,

Mbona Prof Muhongo hakuchukuliwa hatua yoyote pale alipofichua kwa msg ziara ya kustukiza ya waziri Mkuu pale bandarini?,
 
Back
Top Bottom