Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

Magufuli ni dictator wa kizazi hiki sasa hivi anasema na kufukuza huko mbele atawauwa anaona watamkwaza kuendelea kutawala haiwezekani unafanya kazi ya kuwanyanyasa wateule wake haiwezekani anatengeneza chuki kati ya makabila wafanyakazi na wananchi wakulima na wafugaji jamaa bado sana kwenye uongozi wa sheria
 
Sasa kumbe unapayuka tu baada ya viroba? Sishangai kabisa sio rahisi kuelewa na ndiyo tatizo lenu kurukia rukia mambo na kujiona eti mna level ya sijui ulaya, Kenya au USA.

Kuna waziri husika alifanya press conference a week or so ago specifically on that matter sababu ipo chini yake. Tena kama umemsikia rais, kasema wazi hata yeye haelewi shetani gani alimkumba huyu...kuwa hata makosa yalipogunduliwa akaelezwa huyu RC alishindwa kuchukua hatua kwa waliomdanganya !! You go against directives, tena za Rais halafu mijitu eti ohh angeitwa na kupewa warning..ohh kujitetea !!

Sijui kama unaelewa " to read between the lines" jaza kama huelewi basi endelea kulalama !!
Raisi anekurupa maamuzi yake yanamsuta ndio maana alisema mambo ya kujichanganya mwenyewe kwa sababu anajuwa kakosea magufuli ni dictator
 
Fikiri nchi ingekuwa chini yenu wachagga, hivi tu zaidi ya 50%ya Wanaotumbuliwa ni akina nyinyi.

kwanza....mimi sio mchaga.....

Pili......Sipendi sana kushabikia kubagua watu kwa dini zao na makabila yao

Tatu.....Serikali ya CCM imelea uozo wote huu .....kwa miaka mingi sana...be it wasukuma,wangoni au wachaga...Bottom line ni kwamba Watanzania hatujafunzwa kubaguana....Mtu yeyote anayejitahidi kutubagua ni wa kuogopwa kama ukoma

Nne.....Naipenda nchi yangu zaidi ya chama changu...

Punguani wahed wewe
 
Sasa kumbe unapayuka tu baada ya viroba? Sishangai kabisa sio rahisi kuelewa na ndiyo tatizo lenu kurukia rukia mambo na kujiona eti mna level ya sijui ulaya, Kenya au USA.

Kuna waziri husika alifanya press conference a week or so ago specifically on that matter sababu ipo chini yake. Tena kama umemsikia rais, kasema wazi hata yeye haelewi shetani gani alimkumba huyu...kuwa hata makosa yalipogunduliwa akaelezwa huyu RC alishindwa kuchukua hatua kwa waliomdanganya !! You go against directives, tena za Rais halafu mijitu eti ohh angeitwa na kupewa warning..ohh kujitetea !!

Sijui kama unaelewa " to read between the lines" jaza kama huelewi basi endelea kulalama !!

Nimekuelewa mkuu. Ninachozungumzia mimi ni mfumo wa nidhamu.

Mfano: Kama baba nyumbani, mtoto akikosea una mawili ya kufanya.
1. Unaweza kumchapa halafu ukaendelea na viroba vyako, au
2. Unaweza kumuelekeza alipokosea na kumuasa asirudie tena (haualafu ukaendelea na viroba).

Mimi namshauri Rais wetu achukue namba 2.
 
You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi tena 2020 na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.
Walianza wakiwa wa3 (Magufuli, Majariwa na Suruhu) hata wakimaliza wakiwa wa3 poa tu heshima lazima ipatikane
 
Hebu natufikirie hapo: watumishi hewa 45 na tayari washalipwa zaidi ya 300, halafu wee mkuu wa mkoa unaitisha vyombo vya habari na kujinasibu kuwa hakuna mtumishi hewa hata mmoja ktk mkoa wako;

Je kwanini Anna Malicela hakutaka kutafuta ushahidi mwingine? kwanini yeye aamini tu mara moja nakuita waandishi? na iwe fundisho kwa wengine ili wawajibike sawasawa.

Magufuli anajua sana udhaifu wote wa serkali iliyopita na jinsi ilivyosababisha umasikini kwa Taifa, kwahiyo anachokisema anakijua kuliko mtu yeyote na hivyo tumwache tu afanye operation ili Tz ipone
 
Nimekuelewa mkuu. Ninachozungumzia mimi ni mfumo wa nidhamu.

Mfano: Kama baba nyumbani, mtoto wakikosea una mawili ya kufanya.
1. Unaweza kumchapa halafu ukaendelea na viroba vyako, au
2. Unaweza kumuelekeza alipokosea na kumuasa asirudie tena (haualafu ukaendelea na viroba).

Mimi namshauri Rais wetu achukue namba 2.

Nchi hii ilipofikia hasa utawala uliopita, ilikuwa mbaya sana na wengi tukalilia mtu makini. Seriousness ikianzia juu basi itashuka hadi chini, na ktk uongozi lazima u send message kuwa hatutaangalia sura au jina la mtu !
Kuna makosa namakosa, mtoto wamiaka 14 akikojoa ndani ya friji au akanya ndani ya sufuria la ubwabwa unampiga viboko na ngumi 2 then analala bila kula !! Hakuna cha kumuelekeza..

Again, nijuavyo mm makosa yaligunduliwa ktk mikoa 3-4, na ma RC wote wakapewa maagizo ya kufanya lkn huyu bado
akapuuzia au whatever.

BTW angalau sasa umeandika kwa nidhamu na utajibiwa hivyo hivyo lakini I doubt kama kiswahili unajua (mtoto wakikosea ....??? ha ha ha }
 
Ngoja ni_LIKE tu comment baadaye, na ambaye sija_LIKE comment yake anistue nirudi..!
 
You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi tena 2020 na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.
Kwa sasa hatuhitaji deplomasia,itakuja baada ya watu kubadilisha mindset zao,walizoea kufanya kazi kwa mazoea.Angemuacha wengi wagefanya kama yeye wakijua rais hayuko serious. Namuunga mkono magufuli kwa kumuondoa Anna Kilango.
 
Magufuli ni dictator wa kizazi hiki sasa hivi anasema na kufukuza huko mbele atawauwa anaona watamkwaza kuendelea kutawala haiwezekani unafanya kazi ya kuwanyanyasa wateule wake haiwezekani anatengeneza chuki kati ya makabila wafanyakazi na wananchi wakulima na wafugaji jamaa bado sana kwenye uongozi wa sheria
Hatuwezi kabisa kabisa kuendelea na mazoea tuliyokua nayo kwa kipindi cha miaka 30 iliyopita kama tunataka mabadilko ni lazima tubadilike, hakuna jinsi hapa hata kama haya mabadilko yana chembechembe za uimla ni lazima tubadilike ili tutoke hapa tulipo.
 
mimi nadhani kama mtu hawezi kazi basi akae pembeni sio lazima sana awepo kwenye gvt. na sidhani kama ukiwa mbunifu katika utendaji wako bosi yoyote atataka kukuondoa?
 
Naongea watu wamekujibu kama jina lako ila kimsingi si uungwana kwani kuna wengine wameenda mbali mpaka kutumia lugha ambayo ina leta tafsiri nyingi ila kiukweli wengi wamechoshwa na mambo yanayoendelea katika nchi yetu tuliishi kwa kukariri na business as usual imelifikisha pabaya taifa hili.
 
Back
Top Bottom