Pres. Magufuli: Don't Put Your Sub-ordinates on Short-Leashes (ala Kilango)

Its shock therapy time! muda wa kuchekacheka na kima na matezi dume yaliyotufikisha hapa umepitwa na wakati; JPM mbele kwa mbele! kwa wezi, wala rushwa, mafisadi na majangili; its payback time; the goose has come home to roost!

Hakuna kucheka kima...

Mkuu kima ni wa muhimu sana.

Kima wakiwa juu ya miti huona hatari zote (nyoka, simba, n.k.) zilizoko chini aridhini. Ukiwasikia wanapiga kelele basi jihadhari ama sivyo utaathirika.

ASIYEJUA MAANA HAAMBIWI MAANA.

(Kwako wewe mkuu nimekuambia maana)
 
Kutawala unatawala peke yako
kuongoza lazima ushirikishe wengine
Ni wakati mzuri sasa rais kusikiliza wachache wenye hekima na uzalendo na nchi hii waliotayari kuhakikisha Tanzania inajitegemea. Ushauri wa kumkatisha tamaa rais katika kuisaidia Tanzania ijitegemee usisikilizwe.
 
You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi tena 2020 na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.

Ndugu yangu una point ya msingi sana, lakini wasio weza toa point wanakimbilia matusi tu. Mimi nampenda sana Magufuli pamoja na kuwa si mwana CCM wala UKAWA, lakini tulipo fika tunahitaji kiongozi kama yeye. Hata hivyo najiuliza maswali, ni kweli kosa kama la Mama Kilango lazima afukuzwe kazi outright namna hii? Pamoja na kweli kukosea kwake kumelitia taifa hasara ya hiyo mishahara.

Msingi wa swali langu ni hili. 1 Kila mwanadamu anakosea, na onyo ndio mwalimu bora na hata Rais Magufuli ana makosa yeke mengi tu lakini tunayakubali tunapo ona nia yake ya dhati 2. Siamini kama Mama Kilango kafanya makusudi, maana ni mwezi mmoja na sitegemei kama amesha tengeneza mtandao ili afaidikike na pesa hiyo, maana kaenda juzi tu. Pengine hakuwa smart na kawa misled. 3. Kama Rais katuma team yake iliyo pata ukweli, angeweza kabisa kuwachukulia hatua waliolipa, walio pokea na kumwonyesha Mama Kilango weakness yake na kumpa onyo kali ili aweze kuwa makini.

4. Mwisho, kama ni zero tolerance, yapo mengi yaliyo mazito na yamefanywa kwa maksudi kuliko hili na watanzania wanayajua wazi. Kwa mfano kwa nini uozo wote huu upo kana kwamba hapakuwapo na uongozi kabla ya serikali ya Magufuli? Anachukua hatua gani maana wote tunajua kwa nini tumefika hapa, sio mmoja tu katufikisha ni wengi na china ya kiongozi kama yeye akiwapo chini ya serikali hii hi ya CCM na kuona haya yote. Je Chama kifutwe?
 
Ndugu yangu una point ya msingi sana, lakini wasio weza toa point wanakimbilia matusi tu. Mimi nampenda sana Magufuli pamoja na kuwa si mwana CCM wala UKAWA, lakini tulipo fika tunahitaji kiongozi kama yeye. Hata hivyo najiuliza maswali, ni kweli kosa kama la Mama Kilango lazima afukuzwe kazi outright namna hii? Pamoja na kweli kukosea kwake kumelitia taifa hasara ya hiyo mishahara.

Msingi wa swali langu ni hili. 1 Kila mwanadamu anakosea, na onyo ndio mwalimu bora na hata Rais Magufuli ana makosa yeke mengi tu lakini tunayakubali tunapo ona nia yake ya dhati 2. Siamini kama Mama Kilango kafanya makusudi, maana ni mwezi mmoja na sitegemei kama amesha tengeneza mtandao ili afaidikike na pesa hiyo, maana kaenda juzi tu. Pengine hakuwa smart na kawa misled. 3. Kama Rais katuma team yake iliyo pata ukweli, angeweza kabisa kuwachukulia hatua waliolipa, walio pokea na kumwonyesha Mama Kilango weakness yake na kumpa onyo kali ili aweze kuwa makini. 4. Mwisho, kama ni zero tolerance, yapo mengi yaliyo mazito na yamefanywa kwa maksudi kuliko hili na watanzania wanayajua wazi. Kwa mfano kwa nini uozo wote huu upo kana kwamba hapakuwapo na uongozi kabla ya serikali ya Magufuli? Anachukua hatua gani maana wote tunajua kwa nini tumefika hapa, sio mmoja tu katufikisha ni wengi na china ya kiongozi kama yeye akiwapo chini ya serikali hii hi ya CCM na kuona haya yote. Je Chama kifutwe?

My point exactly!

Asante mkuu kwa kufananua nilichomaanisha.
 
Kaka hujamuelewa mtoa mada, jaribu kumsoma kwa umakini utamuelewa tu

Issue iko hivi, kama huyo mama alikosea nadhani kwa kupewa taarifa zisizo sahihi na yeye akaziwakilisha kama alivyopewa basi lilikuwa jukumu la Rais kumwambia umedanganywa kwa sababu yeye ana taarifa anazoziamini zaidi ya za huyo mama,

Mbona Prof Muhongo hakuchukuliwa hatua yoyote pale alipofichua kwa msg ziara ya kustukiza ya waziri Mkuu pale bandarini?,

Asante mkuu.
 
You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi tena 2020 na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.
Aachwe apige kazi.,tulizoea kubembelezana..mabadiliko lazima yaje na maumivu,change ur mind set bro,hizi zma nyingine, ina kitabu chake
 
Sawa mkuu.

Kama rafiki, nikikuona unaelekea mtaroni sina budi kukutahadharisha.

Kufuata nasaha zangu ni hiyari yako.

Kila la kheri.
 
"Tunaposena kuna wa-tz wapunbavu, tunakujumuisha na wewe" lol ...i dont mean any insult..lol
 
You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi tena 2020 na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.

How did you measure "stifle creativity and innovations?".
 
Mbona dogo wa north korea amepiga hatua kidikteta? Mbona kagame amenyoosha rwanda kibabe? nadhani sharia ya kukata mafisadi vichwa hadharani iko njiani na ndo itakuwa mwisho wa kudeka. Ukipewa dhamana jitume au waachie wenzako kama huwezi.
 
Daima hua naamini mtu anaetukana kwakua mtu katoa mtazamo wake juu ya jambo fulani ni kukosa weledi wa nn maana ya jukwaa la mawazo na pia anaekubali kila kitu afanyacho mkubwa ni mtumwa wa mihemko na wala hana anachokijua ktk muktadha huo lkn pia huyo huja kua ni kisu kibaya pindi litokeapo anguko la mkubwa wake kuliko hata yule alietoa mawazo tofauti na mkubwa sasa nyie mnaotukana hamwezi toa michango yenu bila mztusi?
 
How did you measure "stifle creativity and innovations?".

Excellent question my compatriot.

The metrics used to measure creativity and innovations are rooted in unsupervised/unguided initiatives (individual) towards progress.

This is what you want in your team. In other words you want your subordinates to think for themselves but be in sink with your ideals in accomplishing greater things than what you, as a leader, had in mind in the first place.

When subordinates stop thinking - you have stifled creativity/innovation.

Am I being too ideological?
 
Mbona dogo wa north korea amepiga hatua kidikteta? Mbona kagame amenyoosha rwanda kibabe? nadhani sharia ya kukata mafisadi vichwa hadharani iko njiani na ndo itakuwa mwisho wa kudeka. Ukipewa dhamana jitume au waachie wenzako kama huwezi.

Mkuu, kwa kuwa una nyundo mkononi, basi sio kila tatizo ni msumari.
 
Nina uhakika hakutilia maanani agizo la rais ndio maana hakufuatilia kwa karibu na siajabu alikuwa hajakaa ofcn ila aliakiwa kustuka alipoona report hiyo lakini vyote hi vyo hakujali
Ndugu yangu una point ya msingi sana, lakini wasio weza toa point wanakimbilia matusi tu. Mimi nampenda sana Magufuli pamoja na kuwa si mwana CCM wala UKAWA, lakini tulipo fika tunahitaji kiongozi kama yeye. Hata hivyo najiuliza maswali, ni kweli kosa kama la Mama Kilango lazima afukuzwe kazi outright namna hii? Pamoja na kweli kukosea kwake kumelitia taifa hasara ya hiyo mishahara.

Msingi wa swali langu ni hili. 1 Kila mwanadamu anakosea, na onyo ndio mwalimu bora na hata Rais Magufuli ana makosa yeke mengi tu lakini tunayakubali tunapo ona nia yake ya dhati 2. Siamini kama Mama Kilango kafanya makusudi, maana ni mwezi mmoja na sitegemei kama amesha tengeneza mtandao ili afaidikike na pesa hiyo, maana kaenda juzi tu. Pengine hakuwa smart na kawa misled. 3. Kama Rais katuma team yake iliyo pata ukweli, angeweza kabisa kuwachukulia hatua waliolipa, walio pokea na kumwonyesha Mama Kilango weakness yake na kumpa onyo kali ili aweze kuwa makini. 4. Mwisho, kama ni zero tolerance, yapo mengi yaliyo mazito na yamefanywa kwa maksudi kuliko hili na watanzania wanayajua wazi. Kwa mfano kwa nini uozo wote huu upo kana kwamba hapakuwapo na uongozi kabla ya serikali ya Magufuli? Anachukua hatua gani maana wote tunajua kwa nini tumefika hapa, sio mmoja tu katufikisha ni wengi na china ya kiongozi kama yeye akiwapo chini ya serikali hii hi ya CCM na kuona haya yote. Je Chama kifutwe?
 
You will stifle creativity & innovations in governance.

So, probably Hon. Kilango deserved it. However, such summary dismissals will scare your subordinates (ministers and below) to a point of being Zombies instead being your linchpins in perfecting your governance.

Kama kuanzia mawaziri hadi vigogo wilayani watakuwa na mtera wakiogopa kisu chako cha majipu basi utawala utakuwia mgumu sana. Wasaidizi wako wataogopa kutoa maamuzi magumu (na pengine yenye hitlafu hapa na pale - i.e., not to your liking) wakichelea kuumbuliwa na bosi.

Mkuu wa ngazi ya juu akiteleza muite (au waziri wako amuite) chemba na kumpa karipio la kirafiki (faragha) halafu mtie moyo (encourage) aendelee kuthubutu makubwa zaidi.

Hii fukuza-fukuza hii utakuja jikuta uko peke yako kifikra katika awamu hii ya tano. Watanzania wengi wangependa urudi tena 2020 na nina uhakika utarudi lakini tumia diplomasia sasa katika utawala wako.

Kila mtu sasa anajua kasi yako na nidhamu yako. Najua Rais you are not diplomatic in nature but you need diplomacy (in your rule) now more than ever. Unaweza kubaki na kasi hiyohiyo ulionayo bila kudhalilisha wasaidizi wako.

Ushauri kwako kama rafiki.
Kama aliyefukuzwa ni shangazi yako shauri yako maana kuchekacheka basi tena ! Diplomasia mbele ya mzaha haipo.
 
Back
Top Bottom