Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,073
- 304
Kwa maoni yangu nafikiri SAF amepitwa na muda, alikuwa aachie ngazi last season wakati bado yupo kileleni. Ameshashinda kombe la ulaya na premier bado anataka nini? Baada ya mafanikio ya mwaka jana itakuwa vigumu kurudia ama kuzidi mafanikio hayo ambapo kisaikolojia itaiathiri Man United msimu huu, makosa kama hayo ndio yalifanywa na Del Bosque (Real Madrid) au Rijkaard (Barcelona) walitakiwa waachie ngazi mapema,wamuachie kocha mpya new challenge.
Mwaka 99 waliposhinda Treble, Fergie alikuwa nae Queiroz na aliachia ngazi matokeo yake walishinda Premiership tu msimu uliofuatia, na ukizingatia kiwango cha Liverpool na Chelsea bila kuisahau Arsenal na bila Queiroz, nahisi msimu huu utakuwa mgumu sana kwa ManU, sio kwenye PL bali hata CL.
Resigning is not solution, as much as you can deliver trophies why resign, anyway on top of that Manutd na Madrid wako na policy mbili tofauti juu ya ya makocha, inhali hawa wana MENEJA wa timu hawa wengine wana KOCHA.
Kabla ya ku resign SAF lazima ajue atampa nani mikoba ya ukocha, kisingi kwa klabu kubwa kama MANUTD you can not mpa ukocha just a 'tommy/jerry", nevertheless kama unachunguza vizuri kauli za SAF yuko kutayarisha kikosi cha mrithi wake na very soon ata-retire!