hii habari ni zaidi ya tetesiKuna tetesi kuwa kampuni ya Precision Air itafilisiwa rasmi mwezi huu na wale wanahisa kupewa chao.
Pole sana Shirima kama ni kweli. Kuna wakati nilisema hapa kuwa kosa kubwa alilofanya Shirima ni kuajiri CO kutoka Kenya!!!!!! Mkenya alikamilisha kazi ya kuia Precision Air ambayo ilikua imepata kasi kubwa hadi kuogopesha Kenya Airways. Wakaitumia Precision kama daladala la kupeleka abiria Kenya kupanda international flights maana it was costly KQ ku operate from KIA or JIA. Alipoona amekamilisha kazi ya kuiua Precision basi CO mkenya akaomba ku resign.!!!! Hiyo ndiyo Kenya na tunakimbilia Federation!!! We are insane!!!
Si afadhali presicion kuliko ATC mliyomuuzia jamaa kwa kudanganya kuwa kuna waarabu wanawekeza. Mchezo wote tunaujua tangu kutumia hela ya kilimo kwanza kufufua ndege ya zawadi na kuileta kwa jina la ATC!
mafisadi wanaotafuna nchi hiiHivi mwenye Precision Air ni nani na ni mtu wa wapi.
Wewe utakuwa mchaga tu mbona umewaka sana, watu wabaya sana nyie.Kama Wachaga ni wabaya sana tupe kabila lako tujue tufanye tasmini tujue Wachaga na kabila lako nani wabaya sana acha wivu wa kijinga
Wachaga watu wabaya sana, walihusika kuiua Air Tanzania na kuanzisha kampuni yao ya Precision Air.
Hivi mwenye Precision Air ni nani na ni mtu wa wapi.
Wapuuzi kama wewe mna matatizo
Chanzo pleas
Kuna tetesi kuwa kampuni ya Precision Air itafilisiwa rasmi mwezi huu na wale wanahisa kupewa chao.
Ni kweli Kaka.Hata mimi niliandika analysis kwenye jukwaa la Uchumi na Biashara na ilichapishwa na The Citizen last year.Kulikua na Tatizo kwenye Leverage ,Business Diversification na Leasing huku unfair competition ikichukua center stage na Politics. Michael Shirima kwangu ni Senior wa Nyumbani kwetu.Asili ya Rombo-Kilimanjaro. Niliandika analytically bila kuwa biased!