Precision may not last long in the air, auditors now warn

Precision may not last long in the air, auditors now warn

Kuna tetesi kuwa kampuni ya Precision Air itafilisiwa rasmi mwezi huu na wale wanahisa kupewa chao.

Wanahisa wapewe chao? Mkuu hicho chao kitatoka wapi? Hata kama watapata basi itakuwa ni kiduchu manake hadi kampuni ifike kufilisiwa ujue wanahisa wameliwa.

Hapa watu wa Mamlaka ya Soko la Mitaji wana cha kutujibu. Haiwezekani kampuni ikaruhusiwa ku float share (IPO) na kuanza kuziuza kwenye soko kisha baada ya miaka 2 tu ifilisiwe!!! Due diligence haikufanyika vizuri.

Precision air kwa sasa imepoteza muelekeo kabisa si tu kwa wateja bali hata kwa wafanyakazi wake wenyewe, baada ya kufanya cost cutting sana kwenye kila kitu sasa na mkakati wa miaka mitano, ambapo hakuna mfanyakazi yoyote atakayeongezwa mshahara mpaka miaka hiyo ipite kwanza, hivi ni nani atakayevumilia huo ujinga?
ndio maana kila leo wengi wao wanaacha kazi na kwenda sehemu nyingine, sasa kama kampuni inapungukiwa na watu wake wenye uzoefu wa kutosha nani na abaki sasa?
si ndio mwanzo tutaanza kusikia ajali kila leo kwa maintanance kufanywa na mafundi wasio wazoefu?
Kosa kubwa sana ambalo walilifanya ni kuziondoa zile boeng kwa sababu zilikuwa na maintanance cost kubwa mno ambayo ilikuwa ikifanywa na KQ lakini wamekosa mkakati mbadala wa kuleta ndege nyingine kubwa ili kukidhi mahitaji ya abiria kama wa mwanza
Kampuni haitaweza kufa kabisa ila tutegemee itauza ndege nyingi na kupunguza wafanyakazi wengi tu na kubakiwa na wachache, Shirima angekuwa na akili angewanyang'anya KQ hisa zao maana wao ndio wanaoongoza kula fedha za precision air kwa wizi wizi tu
 
Kuuliza sio ujinga,hivi intarahamwe maana yake nini naliona sana hili neno humu jf lakini sielewi

Intarahamwe manake ni wale wanaong'oa watu kucha na meno nakuwatoboa macho huku wakiiba rasilimali za taifa kama madini wanyama wetu kama tembo nakuingia mikataba feki huku wakikwapua hela benki kuu kwa kutumia acount feki na wanajiita ccm. Naamin umepata maana halisi ya intarahamwe.
 
Okay thanks
 
Ata sauda ni mkenya anatokea mombasa..na alifanya kenya airways upande wa cargo.
 
Ni Mtanzania na ni mtu wa Tanzania. Swali jingine?

Sent from my iPad using JamiiForums

huyo jamaa unayehangaika naye ni MSWAHILI mno , yeye kila mahali anatanguliza ubaguzi tu , achana naye .
 
huyo jamaa unayehangaika naye ni MSWAHILI mno , yeye kila mahali anatanguliza ubaguzi tu , achana naye .

Ukiona mtu ni mbaguzi sana ujue hata ukoo wake uko hivyo. Yaani ndio makuzi aliyokulia hivyo hajijui kuwa yeye ni mbaguzi.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Acha wivu ww mbaguzi. Walihusika vipi? Kila kukicha wachaga wachaga ..... kwenye vibaraza vya kahawa

umeshawahi kwenda kwenye hivyo vibaraza vya kahawa ukawaona wakizungumzia wachaga? Au unajitoa fahamu tu
 
Precision air kwa sasa imepoteza muelekeo kabisa si tu kwa wateja bali hata kwa wafanyakazi wake wenyewe, baada ya kufanya cost cutting sana kwenye kila kitu sasa na mkakati wa miaka mitano, ambapo hakuna mfanyakazi yoyote atakayeongezwa mshahara mpaka miaka hiyo ipite kwanza, hivi ni nani atakayevumilia huo ujinga?
ndio maana kila leo wengi wao wanaacha kazi na kwenda sehemu nyingine, sasa kama kampuni inapungukiwa na watu wake wenye uzoefu wa kutosha nani na abaki sasa?
si ndio mwanzo tutaanza kusikia ajali kila leo kwa maintanance kufanywa na mafundi wasio wazoefu?
Kosa kubwa sana ambalo walilifanya ni kuziondoa zile boeng kwa sababu zilikuwa na maintanance cost kubwa mno ambayo ilikuwa ikifanywa na KQ lakini wamekosa mkakati mbadala wa kuleta ndege nyingine kubwa ili kukidhi mahitaji ya abiria kama wa mwanza
Kampuni haitaweza kufa kabisa ila tutegemee itauza ndege nyingi na kupunguza wafanyakazi wengi tu na kubakiwa na wachache, Shirima angekuwa na akili angewanyang'anya KQ hisa zao maana wao ndio wanaoongoza kula fedha za precision air kwa wizi wizi tu

dah.sipandi tena precision
 
Yaani ata uyu SAUDA ni Mkenya yelewiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii twafa
 
Wanahisa wapewe chao? Mkuu hicho chao kitatoka wapi? Hata kama watapata basi itakuwa ni kiduchu manake hadi kampuni ifike kufilisiwa ujue wanahisa wameliwa.

Hapa watu wa Mamlaka ya Soko la Mitaji wana cha kutujibu. Haiwezekani kampuni ikaruhusiwa ku float share (IPO) na kuanza kuziuza kwenye soko kisha baada ya miaka 2 tu ifilisiwe!!! Due diligence haikufanyika vizuri.

ndio jibu tunalopata wale tuliopanda 'm begu' kichwakichwa.
 
Nawalaumu walokubali PA waingie kwenye business alliance na KQ!!!!!
 
ndio jibu tunalopata wale tuliopanda 'm begu' kichwakichwa.
Kununua hisa Tanzania ni kujitafutia umaskini tu. Hebu fikiria juzi hapa CRDB wametangaza gawio la shilingi 14 kwa hisa moja. Kama hisa ina thamani ya shs 400 ina maana hapo ni 3.5%, tena mwaka huu imepanda toka shs 12 mwaka jana. Bank kwa fixed account unaweza kunegotiate hadi 1% kwa mwezi (Wataalam nikosoeni kama siko sahihi) ambayo ni faida zaidi ya mara tatu ukilinganisha na ukuaji wa thamani ya hisa za hiyo bank. Nani akanunue hisa kwa mazingira kama hayo ukizingatia kuwa hata regulatory authorities ziko weak
 
Ben, I agree you wrote analytically but short of empirical examples to cement your justification. Aviation industry unique unlike other business. Mnaweza kuandika mnavyofikiria au kuamnishwa lakini manatakiwa kwenda mbele zaidi. We need to widen the scope and look at other factors. Kwa mfano kuna kukosa uzalendo kunakoikumba Tanzania kwa kasi ya ajabu na kunachangia kwenye sabotage. Kuna watu wakati wa IPO walikataa kununua hisa kisa kwa sababu ati kampuni ya Mchagga. Angalia kampuni iliyoanzishwa kwa uzalendo mkubwa na mzee mzalendo kati wa wazalendo tuliokuwa nao, mcha Mungu asiyekuwa na chembe ya shaka na kampuni ikawa flag bear wakati ATC inachecehemea. Lakini uliza mamlaka zilizopo (TAA, TCAA, TRA) zinaisaidiaje? Haya ni mambo ya kuangalia.

hakuna kitu kama hicho..precision air iliwahi kuomba wapi msaada ikanyimwa?
 
Ms. Sauda S. Rajab Group Managing Director & CEO
Ms. Sauda is an all rounded Executive Professional with vast experience in the airline travel market, people management, finance, general sales as well as marketing. She holds a BA in Political Sciences & Arts from University of Nairobi, still pursuing an MBA at Strathmore University, Nairobi.

With more than 23 years wealth of experience in Aviation Industry, she joined Kenya Airways as a management trainee in 1989, and over the years rose up the ranks, holding various managerial positions in the airline including District Sales Manager-Coast Zone 1996-2000, Country Manager Uganda, Burundi & Rwanda 2000-2002, General Manager–Kenya Sales 2002–2003, Area Manager-East Africa 2003-2005, Regional General Manager Europe, Americas & Asia 2005-2010, and General Manager, Cargo Operations. (2010 – Feb 2013), the position she held leading to her appointment as the Group MD & CEO of Precision Air Services PLC.

ama kweli lisemwalo lipo na kama halipo laja
 
Ni kweli Kaka.Hata mimi niliandika analysis kwenye jukwaa la Uchumi na Biashara na ilichapishwa na The Citizen last year.Kulikua na Tatizo kwenye Leverage ,Business Diversification na Leasing huku unfair competition ikichukua center stage na Politics. Michael Shirima kwangu ni Senior wa Nyumbani kwetu.Asili ya Rombo-Kilimanjaro. Niliandika analytically bila kuwa biased!

Mkuu Ben, wakati mwingine tunatumia muda wetu na uelewa wetu aliotujalia Mungu kuandika mambo muhimu, ambayo ninaamini hata CCM kama wangepita humu na kuchukua hata 0.001% ya yanayoandikwa humu JF ingekuwa inawasaidia sana. Lakini kuna tendency ya kudharau, sasa wanasema mdharau mwiba mguu huota tende. Ndugu Shirima angefikiria kwa undani zaidi kabla ya uamuzi wa ku team na KA. Sasa kwa hali ilivyo na stiff competition kutoka Fast Jet sasa inabidi ajipange upya kama anaweza kuamka tena.
 
Back
Top Bottom