Tunadharau watanzania wenzetu kwa kila kona. precission walijitakia msiba wao wenyewe. hivi kweli nchi kama kenya ambayo inashirika lake KQ ambao in general wahaitakii mema tz unaenda kuchukua mtu huko kujakuwa CEO wa PAA?
mbali na hapo kulikuwa na umuhimu gani wa kuungana na KQ? Pia mtu anawezaje kukodi ndege halafu mnaambiwa zimenunuliwa mnakubali na mnashindwa kujua kwa muda wote huo. halafu inaonekana hata wakurugenzi nyeti wote walikuwa ni wakenya na walikuwa kundi moja kwani haingii akilini madudu yote hayo yafanyike bila kujulikana kwa muda mrefu hivyo
PAA wamevuna walichopanda maana waliungana na giant competitor wao.Amejua siri zao amewamaliza
Ex-Precision Air CEO builds hotel in MachakosKenyans have seen opportunities of higher positions in TZ Coy and they are keen for It,and we praised them as smart managers!!!!!
Ndiye nani mkuu.Maskini Michael Ngaleku, akiisoma hii atachanganyikiwa
Ndiye nani mkuu.
Katika mashirika yaliyodumu muda mrefu PW wamejitahidi. Hapa tuangalie vitu kama community airline, badala ya kujutia mimi naona ni muda wa kujitazama upya regardless how much loss and negligence have endured.
Hiyo Ngaleku sikuwa naijua. Unajua risks za investments zinatofautiana kutoka eneo na eneo. Kwa mazingira ya Kitanzania ya ufisadi na unafiki huyu mzee anafaa sana badala ya wale wanaohamisha na kuficha pesa nje.Mmiliki, anaitwa Michael Ngaleku Shirima