Precision may not last long in the air, auditors now warn

Precision may not last long in the air, auditors now warn

Pole sana Shirima kama ni kweli. Kuna wakati nilisema hapa kuwa kosa kubwa alilofanya Shirima ni kuajiri CO kutoka Kenya!!!!!! Mkenya alikamilisha kazi ya kuia Precision Air ambayo ilikua imepata kasi kubwa hadi kuogopesha Kenya Airways. Wakaitumia Precision kama daladala la kupeleka abiria Kenya kupanda international flights maana it was costly KQ ku operate from KIA or JIA. Alipoona amekamilisha kazi ya kuiua Precision basi CO mkenya akaomba ku resign.!!!! Hiyo ndiyo Kenya na tunakimbilia Federation!!! We are insane!!!
 
Ni kweli Kaka.Hata mimi niliandika analysis kwenye jukwaa la Uchumi na Biashara na ilichapishwa na The Citizen last year.Kulikua na Tatizo kwenye Leverage ,Business Diversification na Leasing huku unfair competition ikichukua center stage na Politics. Michael Shirima kwangu ni Senior wa Nyumbani kwetu.Asili ya Rombo-Kilimanjaro. Niliandika analytically bila kuwa biased!
 
Mkuu Zogwale kaongea kweli kabisa. Alikosea sana kujiung na Kenya Airways wakati ambao Presicion walikua juu sana. Kosa zaidi akampa u MD mkenya. Akaiua nguvu taratibu Precision na kuifanya kama Daladala la kubeba abiria tz na kwenda kufaulisha Nairobi kwa Kenya airways ambayo yenyewe wakati huo ilishaungana na KLM. Matokeo yake Precision akawa kama mtoto njiti,kwani hakuweza kukua globaly. Hata serikali ya tz iliingilia kuipa ATC na Precision ruzuku lakini wapi!. Jambo hili la Precision kupewa ruzuku lilisha lalamikiwa na Fastjet kwani Precision si shirika la umma na Fast jet wao hawapewi!.Alipokuja Fast jet ndio akazidi kugonga msumari kwani yeye yupo free na habanwi na shirika lolote la nje. Kibaya cha mwisho wakagombana na Prof. Lwaitama ati kisa kama hajui kiingereza asikae kwa kiti cha karibu na emergency door,Prof akaenda kupulizia (ha ha ha hii ya mwisho just kidding!)
 
Si afadhali presicion kuliko ATC mliyomuuzia jamaa kwa kudanganya kuwa kuna waarabu wanawekeza. Mchezo wote tunaujua tangu kutumia hela ya kilimo kwanza kufufua ndege ya zawadi na kuileta kwa jina la ATC!

Funguka kidogo mkuu bado hujasomeka vizuri.
 
Kwa jinsi precision ilivyokua imeendeshwa kiswahili na aina ya wafanyakazi ni sawa.. Kuna kipindi nlikua nawatibu wafanyakazi wao pale moroko then posta kule..nlikua nawaona ni watu wa ajabu kwanza unamtibu unamsadia lkn hayo madharau yao sasa..na zile ED walivyokuwa wanalazomisha si mchezo..acha life tu
 
Kama Wachaga ni wabaya sana tupe kabila lako tujue tufanye tasmini tujue Wachaga na kabila lako nani wabaya sana acha wivu wa kijinga
Wewe utakuwa mchaga tu mbona umewaka sana, watu wabaya sana nyie.
 
Wachaga watu wabaya sana, walihusika kuiua Air Tanzania na kuanzisha kampuni yao ya Precision Air.

Kawaida watu wenye matatizo utawajua tu. Haya mambo ya ukabila yanakujaje hapa? Kuna kabila gani linaloua au kufirisi mashirika ya umma? Ukiwa hauna cha kuweka hapa, kapumzike kwa amani. Wengine tungefurahi kujadili mambo ya msingi badala ya Ukabila.

Nadhani nd maana umejia chuki Ni chuki yako tu kwa hlo kbila na esho utkja nakabila jingine!!!!!
 
maskini precision ndege tuliojivunia watz baada ya atc kufa. current ushindani pamoja na ndoa na kq ndo vinainyong'onyesha precision. mtu hahitaji kukaa angani masaa na makelele kibao wakati kuna fast jet na atcl kwa muda mfupi zaidi. wajifanyie self evaluation watarudi tu.
 
Kuna tetesi kuwa kampuni ya Precision Air itafilisiwa rasmi mwezi huu na wale wanahisa kupewa chao.

Noo! Nilimaliza malipo ya booking ya wageni wangu 43 wanaokuja August na nilfinaliye jana JRO-ZNZ-JRO, hell NOOO!
 
Ni kweli Kaka.Hata mimi niliandika analysis kwenye jukwaa la Uchumi na Biashara na ilichapishwa na The Citizen last year.Kulikua na Tatizo kwenye Leverage ,Business Diversification na Leasing huku unfair competition ikichukua center stage na Politics. Michael Shirima kwangu ni Senior wa Nyumbani kwetu.Asili ya Rombo-Kilimanjaro. Niliandika analytically bila kuwa biased!

hebu tupe kidogo hiyo analysis yako
 
Kuna tetesi kuwa kampuni ya Precision Air itafilisiwa rasmi mwezi huu na wale wanahisa kupewa chao.

[h=1]Fanfare as Jambo Jet Begins It's Sh3000 Flights To Mombasa[/h] By Ken | April 2, 2014 0 Comments

Kenya's aviation revolution has finally begun. Kenya Airways owned airline, Jambo Jet, yesterday flew for the first time to Mombasa and Kisumu. The new airline is promising to change the way Kenyans travel to major towns, with daily flights to Mombasa, Kisumu and Eldoret.
Now You Can Fly is its mantra, and for sure you can fly. One way flight to Mombasa will only cost you Sh2,850, but you will have to book early.
In contrast, bus fare from the capital to the coastal city can climb up to Sh2000. Considering the almost 6 hour travel time difference, most people will definitely fly.
We have photos from Jambojet' s first flight yesterday.

Because their fares are that low, they are definitely allowed to make a killing here.
 
Kuna tetesi kuwa kampuni ya Precision Air itafilisiwa rasmi mwezi huu na wale wanahisa kupewa chao.

Kwa m tz kwa sasa bora kutamka precision Air utaona ufahari japo sio shirika la umaa ni la wa tz wenzako kuliko kutamka Air tz ni aibu
 
Pole sana Shirima kama ni kweli. Kuna wakati nilisema hapa kuwa kosa kubwa alilofanya Shirima ni kuajiri CO kutoka Kenya!!!!!! Mkenya alikamilisha kazi ya kuia Precision Air ambayo ilikua imepata kasi kubwa hadi kuogopesha Kenya Airways. Wakaitumia Precision kama daladala la kupeleka abiria Kenya kupanda international flights maana it was costly KQ ku operate from KIA or JIA. Alipoona amekamilisha kazi ya kuiua Precision basi CO mkenya akaomba ku resign.!!!! Hiyo ndiyo Kenya na tunakimbilia Federation!!! We are insane!!!

Kwa Mimi abiria, bila kujali mambo ya ndani ya shirika, ni bora enzi zile shirika linaongozwa na mkenya kuliko sasa chini ya mtanzania Sauda Rajabu. Zamani huduma za ndani ya ndege zilikuwa bora Sana, wafanyakazi walikuwa na nidhamu, kulikuwa na urahisi wa kukata ticket online. Sasa hivi ni shida sana kukata ticket online kwa vile siku nyingine website haipatikani, siku nyingine wana-quote bei kwa dola, hawafanyi promotions, wafanyakazi wana viburi. Yaani shirika kwa sasa limekuwa la kibongo bongo zaidi. Alfonse Kioko alifanya makosa lakini huyu Saida Ni janga la kitaifa.
 
Back
Top Bottom