Duh yaani umesema ukweli kabisa. Kampuni yetu ilihujumiwa na viongozi wetu.Msishangae, utendaji wa PW hauna tija toka PESA MBILI apate matatizo!! Alipokuwa na ujiko walishamili kwa yeye kutumia ofisi kuihujumu ATCL; ukweli ndio huo wadanganyika!!
bnhai ,
Kwa heshma, nadhani kulaumu PESA MBILI kwa kukwama kwa ATCL is being unfair.
Tanzania na watu wake ni lazima tukubali kwamba ATCL waliboronga tangu mwanzo. Waliponzwa na SAA; wakapewa mabilioni na J.K. yakazama. Wamekosa proper management na Serikali imeishiwa mtaji.
Kama kuna wanaoomba Mungu kwamba PW nao wakwame, basi hawaonei huruma wale WaTz wanaotoa huduma kwa kufanya safari za haraka kwa ndege.
Mungu Ibariki Tanzania.
Businessman mmoja kanipigia simu baada ya kusoma michango ya WanaJF hapo juu akaniambia "Utamaduni wa J.K. wa kurundika mabilioni katika majalala ya Matakataka yaliodhihirisha incompetence, utakwamisha sio ATCL peke yake, bali uchumi wa Tanzania kwa jumla".
Ndugu zangu WanaJF, take note.

JK hawezi kulaumiwa, yeye anajaribu kusaidia lakini tatizo lake ni kama haoni. Watu wote anaowapa haya mashirika ni wale waliokubuhu kwa rushwa na maslahi binafsi. Wengine hata humu JF tunakuwa tumewaelezea kwa urefu udhaifu wao lakini utashangaa watu hao hao wanateuliwa.